The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] za Instagram???? Bora makalala aisee
Vipi wazee wa Instagram [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha mwee banyambara kaomba poo tafadhali fisadi naomba msamehe huyu please
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli umelewa rubisiEti mpaka asafiri kutafuta nyumba ya maana, tatizo wachagga wanaishi kwenye nyumba za mabanzi na mbao
Sijui ni ushamba .uhayani ni Jambo la kawaida Tu kuchanga helaNyie maskin hamna ubavu wa kuchanga hata milion 5
Vimtaro vya milion na nusu mnaona ni héla wakati hiyo ni.hela ya mangi ya bia level yetu ya michango Ni ma bilion mkome kabisa kujifananisha na black jews
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huyu Ana tatizoWeka hapa nyumba za mabanzi zikiwa na location ya Marangu au Kibosho au Machame au Rombo..
Nikuwekee shule iliyopo Muleba na nyumba ya udongo?
View attachment 1018001View attachment 1018002
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lazima povu likutoke. Hapa upo na wahaya huwezi kudanganya hovyo, jipange mkuu.We kweli umelewa rubisi
Yy kasema ataenda location hizo machame,kibosho,vunjo, marangu na rombo kuwaletea nyumba za makaz zaidi ya hizi. Ili mridhike yaan mchaga aishi nyumba mbovu?
Nyumba na mabanda ya mabanzi yapo bukoba mjin katikati ya mji haya hapaView attachment 1018233
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemaliza Kaz hapa cjui Kama watasema hii Ni hotel. HahahahaAya naanza Machame.. Hapo tunaweka nyumba za kawaida kama mlivyosema..
Sharti ziwe na location on it ili tusidanganyane hahahahaView attachment 1018006View attachment 1018007View attachment 1018008View attachment 1018009View attachment 1018010
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha leo lazima mpatikane. Hebu leta tena hizo za Marangu kutoka InstagramHahaha huyu Ana tatizo
Uchagani ndio makaz bora yalipoanzia ndio maana ni mkoa wa 2 tz kwa makaz bora baada ya dar
Hawa wahaya tatizo Lao hawatembei wamekalia kukaa huko omkyalo kwao ushamba umewajaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wameshajinyea hahaha cjui watasema Ni hotel hahahaRandomly from IG.. Hapa hatuchagui picha. Tukachukua tu..
Lazima picha iwe na tag ya location. Wahaya watajinyea lView attachment 1018029eo kwa fix zaoView attachment 1018019View attachment 1018020View attachment 1018021View attachment 1018023View attachment 1018025View attachment 1018026View attachment 1018027View attachment 1018028View attachment 1018030View attachment 1018031View attachment 1018032View attachment 1018033View attachment 1018034View attachment 1018035
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za mwaka gani ? Hata mwenzako luambo makadi anafahamu kamachumu kuna lami.kutoka muhutwe, mpaka kamachumu ni lami tupuInstagram haidanganyi... Hapa ndio Kamuchumu hahahahahaha pamefubaaaaa
Inakuwaje wanashindwa kupambana na hilo vumbi? Ndio maana Billion 7 za Vunjo zinawaumaView attachment 1017969View attachment 1017970View attachment 1017971View attachment 1017972View attachment 1017973View attachment 1017974View attachment 1017975View attachment 1017976View attachment 1017977
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya naanza Machame.. Hapo tunaweka nyumba za kawaida kama mlivyosema..
Sharti ziwe na location on it ili tusidanganyane hahahahaView attachment 1018006View attachment 1018007View attachment 1018008View attachment 1018009View attachment 1018010
Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza unaleta picha za insta tena?? Kweli nyie wagonjwa! Tena picha zenyewe sio kwamba ni za hapo kwenye location. Mtu anapopost akashea location huwa anasgea location alopo na sio necessarily iwe mahali alipopigia hiyo picha.Aya naanza Machame.. Hapo tunaweka nyumba za kawaida kama mlivyosema..
Sharti ziwe na location on it ili tusidanganyane hahahahaView attachment 1018006View attachment 1018007View attachment 1018008View attachment 1018009View attachment 1018010
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu Sasa Hawa wabishi wa kihaya sijui watakuwa na jipya ganAisee nimekaa bukoba miaka minne kwa kweli hii sehemu hairidhishi kuifananisha na Kilimanjaro, Moshi na sehemu.nyingne za Kaskazini.
Bukoba ni Chafu
Bukoba haina mchanganyiko wa watu kutoka mikoa mbali mbali, wahaya tu ni 99%.
Bukoba hawatumii lugha ya Taifa, kihaya haya tu.
Wana Bukoba hawaleti maendeleo kwao.
Nimeacha bukoba airport ikifanyiwa ukarabati, sijui kwa sasa imeisha ama la.
Wakuu acheni kufananisha Bukoba na sehemu za kimataifa! Kilimanjaro and Arusha are other National symbols Internationally.
Nimewaambia ukweli, simjui hata mmoja hapa!
Hahahaha akina great haya sundoka wamekimbia wote wamemwachia msala instanbul hahaha maskin wa kihaya choka mbayaTumeshamaliza... Kuanzia Bukoba Vijijini mpaka Muleba hakuna shule ya kuifikia ile Medium school ya Machame kijijini..
Sasahivi hatutaki ubishi sana. Tunataka uhalisia, tunataka picha zenye tag ya location kutoka vijiji vya Bukoba.
Nimeshaanza kutupia za Machame na Marangu. Hatutaki fix tunataka uhalisia sasa tuone vijiji vya Bukoba.
Mfano umeuona hapo juu.. nenda randomly IG tafuta location ya Muleba alafu tuletee picha za Muleba hapa..
Hapo ndio tutamaliza ubishi kiulaini Tu bila jasho.
Picha za Kamachumu nimeziweka.. vumbi na nyumba za mbavu za mbwa, shule duni ya udongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Instagram imewanyamazisha wenyewe. Msirudie kudanganyaMkuu umemaliza Kaz hapa cjui Kama watasema hii Ni hotel. Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia K Vant ni ya Mchaga.
Picha aliyotoa fisadi ni ya machame we umemjibu na ya bk mjin nayo haijafkia ya machame hahaha unaona mlivyopigwa kakumba? Mhaya Ni maskini tu kwa mchaga
Hawawezi kurudia labda kama ni vichwa maji. Mfano huwezi kusema hapa ni nshamba mulebaBlaza unaleta picha za insta tena?? Kweli nyie wagonjwa! Tena picha zenyewe sio kwamba ni za hapo kwenye location. Mtu anapopost akashea location huwa anasgea location alopo na sio necessarily iwe mahali alipopigia hiyo picha.
Sasa kama zipo si mzipige picha mtuletee?? Kwani shida nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sada hivi wamehamia insta kwenye picha za watu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sie tunapost ukweli na location kabisa sio hawa wanatucheat.wanapost hotel na guest sio majumba ya watu .we utapostije kijiji cha moshi bila kuwa na migomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkajenge kwenu sasa, na cement ya elfu 9 bado tunawagaragazaPicha aliyotoa fisadi ni ya machame we umemjibu na ya bk mjin nayo haijafkia ya machame hahaha unaona mlivyopigwa kakumba? Mhaya Ni maskini tu kwa mchaga
Sent using Jamii Forums mobile app