Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Amemuumbua nan ? Anajua anachoongea ni uongo ndio maana kashindw kuweka ushahidi
Mkoa wa Kilimandjaro ni mkoa wa kwanza tz kuwa na makaz bora vijijn kwa mujibu wa nbs makaz bora ni 85% wakati kagera ni 56% tu lazma mtokwe povu wavivu wahedi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatambalia maandishi tu. Huko vijijini kwenu kamera hazishikagi network???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatambalia maandishi tu. Huko vijijini kwenu kamera hazishikagi network???

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye kwann hakuwrka picha za hizo nyumba anazosema mbovu nn kimemshinda? Njia ya muongo Ni fupi
Natambia maandishi kivip Kwan takwimu za nbs huzion au hujui kusoma?
Kule uchagani usipojengea bâti la msauzi kwasasa wanakushangaa
1262476816.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom