Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Walitaka picha nadhani umewapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado mkuu...

Naitafuta Nyumba ya Panone, hekalu za kina Mengi, nyumba aliyojongewa Kyln na Mengi, Hekalu za Mangi Shangali hapo to mention few..

Alafu niende Kibosho, niende Marangu, tumalize na Rombo.. Watakimbia humu leo..

Vipicha vyao vya Kamuchumu nimeviweka kutoka insta. Sasa waende insta kama watakuta maeneo ya Marangu, Machame, Rombo, Kibosho yamepauka vile..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Instagram haidanganyi... Hapa ndio Kamuchumu hahahahahaha pamefubaaaaa

Inakuwaje wanashindwa kupambana na hilo vumbi? Ndio maana Billion 7 za Vunjo zinawaumaView attachment 1017969View attachment 1017970View attachment 1017971View attachment 1017972View attachment 1017973View attachment 1017974View attachment 1017975View attachment 1017976View attachment 1017977

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo bil 7 zitajenga lami? Km 6 tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somaaaaa hiyoooooo!! Zoom usome habari nzima! Hiyo ni kata 1 tu. Na kuna project nyingi za hii kata hazijaandikwa hapo mkitaka nitazishusha na picha juu! Kila mwaka jamaa wanachanga around 150M ni kata moja tu na hakuna aliyefungua uzi hapa. Kwetu haya ni ya kawaida sana.

Alafu digidigi wa kichaga anasema jimbo zima wamechangia barabara km 6 tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1017940

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kinachosomeka hapo..

Naenda insta kusearch Ruzinga hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado mkuu...

Naitafuta Nyumba ya Panone, hekalu za kina Mengi, nyumba aliyojongewa Kyln na Mengi, Hekalu za Mangi Shangali hapo to mention few..

Alafu niende Kibosho, niende Marangu, tumalize na Rombo.. Watakimbia humu leo..

Vipicha vyao vya Kamuchumu nimeviweka kutoka insta. Sasa waende insta kama watakuta maeneo ya Marangu, Machame, Rombo, Kibosho yamepauka vile..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani usafiri km kadhaa kuitafuta nyumba ya mtu flani! Hizo unazoputa ni mazizi?? Inaelekea nyumba za maana ni za kuokoteza huko uchagani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruzinga hapo
Screenshot_20190209-175452.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka JK yupo Instagram wewe nani?

Nyumbu ya Kagera... Unajua Trump na Billgates wapo insta? MoDewji je

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na we ni Mo? Kwa taarifabyako hao wote uliowataja wamefungua account insta baada ya kufika level walizo nazo. Na some of them wana watubwamewaajiri special kwa ajili ya kuendesha account za zao za social networks. Sio wewe balanjuna wa Kishumundu kutwa unashinda mitandaoni na huyo luambo makiadi. Hata mimi nina account insta lakini ninaweza chukua miezi hata sijaingia. Kwanza hata kwenyw simu yangu nisha uninstall insta. Nikiwa na shida nayo ni mpaka niidownloa!

Ila unakunywa K Vant hahahahahaha nafwaaaaaaaaaaa

Hivi unajua hiyo K Vant ni ya Mchaga??? Nikuletee nyumba yake nae hahahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya naanza Machame.. Hapo tunaweka nyumba za kawaida kama mlivyosema..

Sharti ziwe na location on it ili tusidanganyane hahahaha
Screenshot_20190209-170952.jpeg
Screenshot_20190209-171155.jpeg
Screenshot_20190209-172251.jpeg
Screenshot_20190209-172050.jpeg
Screenshot_20190209-170745.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20190209-170745.jpeg
    Screenshot_20190209-170745.jpeg
    43.6 KB · Views: 20
Back
Top Bottom