Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Hahahahaha hii ndio Bukoba haha dah!

Kuna laana gani kwenye huu mkoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamini amini Tu kila unachokiona kama opposite sex.hilo eneo lipo hivi unaweza ona ghorofa Hilo hapo alilopost
Screenshot_20181129-174753.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan post yang umeiona mkuu, jamaa analeta picha za Instagram ambazo kwa kweli sio za eneo husika kama nilivyoonesha kwenye mfano. Ina maana na mimi ningeweza kusema hapo chini ni nshamba kama ningekuwa na akili fupi kama nyinyi. Angalia hizo picha hapo chini
Unawazimu kweli yy kataja maeneo kasema ataenda machame,kibosho, marangu,then rombo tulia jiandae kudhalilika si mmeyataka wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2019-02-09-21-01-43.jpeg
Screenshot_2019-02-09-21-01-33.jpeg
 
Bilion 7 za vunjo ni kukarabati barabara zote za vijijin jimbo la vunjo: sio kujenga l'ami
L'ami ipo marangu to himo via kilema,marangu mwika(kumbuka sio main road) kazi inaendelea picha hizi hapa
Nyie hamna ubavu wa kukusanya hata milion 10 kwa mkupuo acha ubishi wa kijinga
Watu tunachanga milion elfu 7 unaleta hadithi zako hapa za kimaskini ?View attachment 1017928View attachment 1017929

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndo unatudunganya kuwa lami ipo tangu Uhuru? Yaani sitakaa nimuamini nimwamini mchaga hata siku moja ni waongo Sana mko kama wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo na we ni Mo? Kwa taarifabyako hao wote uliowataja wamefungua account insta baada ya kufika level walizo nazo. Na some of them wana watubwamewaajiri special kwa ajili ya kuendesha account za zao za social networks. Sio wewe balanjuna wa Kishumundu kutwa unashinda mitandaoni na huyo luambo makiadi. Hata mimi nina account insta lakini ninaweza chukua miezi hata sijaingia. Kwanza hata kwenyw simu yangu nisha uninstall insta. Nikiwa na shida nayo ni mpaka niidownloa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umebanwa pumbu mkuu
Insta haijawahi muacha mtu Salama nyie ni maskini wakubwa dawa yenu ni jino jino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somaaaaa hiyoooooo!! Zoom usome habari nzima! Hiyo ni kata 1 tu. Na kuna project nyingi za hii kata hazijaandikwa hapo mkitaka nitazishusha na picha juu! Kila mwaka jamaa wanachanga around 150M ni kata moja tu na hakuna aliyefungua uzi hapa. Kwetu haya ni ya kawaida sana.

Alafu digidigi wa kichaga anasema jimbo zima wamechangia barabara km 6 tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1017940

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa zote za wachaga ziishie hapa please.wahaya na uhayani sio level Yao .aliyesema Haya the most intelligent people in Africa hakudanganya kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani unaona standard za nyumba za wananchi wa kawaida kabisa wa Bukoba. Sio wewe mpaka upanie nyumba ya tajiri flani ukaipige picha

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazd kuchekesha
Hivi umesahau takwimu ya nbs kuwa Kilimanjaro Ni ya pili kwa makaz bora?
Takribani 90% ya makaz Kilimanjaro Ni ya kisasa pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom