luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #581
Mojawapo ya shule ya msingi huko machame Kilimanjaro ndan ndan hahaha nyie wahaya mlichotuzidi Ni ma nailoni kwenye gesti tu mtazd kuaibika vibayaView attachment 1017880Hahaha watazitoa wap, hyo ni ganzi kwa wapenda sifa wa Kilimanjaro
Eti shule ya ghorofa! Hata Bukoba sec yenyewe ni ya ghorofa japo ni ya serikali, Kahororo kuna ghorofa, Ihungo hiyo ndo kama ulaya! Hata Rumuli primary school ni ya ghorofa japo ni ya serikali na ni shule ya msingi. Hizi ni nyingi sana. Hapo nazungumzia za serikali. Sasa za private karibia zote ni ghorofa mkuu. shule kuwa ya ghorofa hata sio jambo jipya huku Bukoba. Hayo ni ya kawaida sana zimejaa kama uchafu. Alafu inavyoonekana Moshi shule kuwa ya gjorofa ni ajabu eeh!!?? Vichekesho sasa hivi jamaniHahahahahaha wahaya wamezoea kelele na blah blah subiri leo tuwanyooshe..
Tumewapa homework watuletee shule ya ghorofa kuanzia Bukoba vijijini mpaka Muleba. Mpaka sasa wamerudi kulekule kwenye hospital..
Tangia huu ubishi uanze hakuna wanachokibishia zaidi ya Hospital na makanisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hawa watu wanahangaika balaa waliomba poo kuhusu mjini tukaja vijijin kumekuwa kwa moto wamerudi Tena mjin wacha tuwamalizie kbsUmekimbilia Bukoba Mjini?
Sasa nikienda Moshi mjini si hautapata majibu wewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni machame nshara babu Lai hahaha wahaya hawaamin hii kituNi Ufaransa hapo au wapi?
Hahaha hahaha vijumba vyenu vya ajabu vya mtindo wa karne ya 19?Sijaona cha ajabu, ni nyumba ya kawaida huku uhayani
Sawa 202 ni shule za watahiniwa kwanzia 40 kupanda juuUsiwe unaropoka kama hujui, muleba ina shule za msingi 232
@sundoka umekimbilia wapi njoo uombe poo ndugu zako kina great haya wanateseka huku mijengo imewachanganyaMuhaya mla senene ona vituuuu
View attachment 1017866View attachment 1017867View attachment 1017868
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nione atajibu kitu ganMuhaya mla senene ona vituuuu
View attachment 1017866View attachment 1017867View attachment 1017868
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji gani porini?? Vijiji vyenu tunavijua haiko hivi. Vijiji vina migomba mikahawa na magimbi. Sasa we unatuletea vihotel vya utalii ndo unatwambia ni kijijini uchagani hapo? Mfyuuuuu
Hivyo vi bus vilivyochoka Marcopolo kule uchagani ni uchafuTulia dawa ikuingie hebu tuone hii shule ya kemebos bukoba na mabasi yake. Hiv KLM kuna shule yenye mAbasi ya malcopolo kama hiiView attachment 1017865
Sent using Jamii Forums mobile app
Et karne ya 19, tumekushika pabaya. Hiyo bk halisi sasa. Kila kitu tuko fit
Siongei sana. Soma gazeti la Habari Leo la tar 14/01/2019 ukurasa wa 12 uone jinsi kata moja tu huko Misenye Kagera inavyochanga na kufanya miradi ya maendeleo ya mamilioni kila mwaka. Hiyo ni kata moja tu. Sasa nyie jimbo lote + mbunge na mfuko wake + kanisa + wachaga masikini diaspora mnachanga hela ya km 6 za lami!!!?!! Na bado unasema haijwahi kutokea Tanzania, labda kwa wandengereko! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie mna ubavu wa kuchanga hata milion 5?
Vunjo pekee bilion 7 kukarabati barabara zote za Jimbo vijijin
Mkoa mzma wa kagera mkichanga hamfikishi hata milion 10 nyie Ni maskini wakubwa ujenzi unaendeleaView attachment 1017512
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko juu kidogo ya muleba, ila huwezi nambia et hizo shule zote muleba hakuna English mediumSawa 202 ni shule za watahiniwa kwanzia 40 kupanda juu
32 za chini ya 40 jumla muleba Ina 232 nakubaliana na we
Sasa moshi DC Ina 268 unasemaje hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inafika hadhi hata robo ya hii ya machame?Et karne ya 19, tumekushika pabaya. Hiyo bk halisi sasa. Kila kitu tuko fit View attachment 1017887View attachment 1017888View attachment 1017889
Kuna mtu anakuja kutembelea hapo?
Unajua maana ya bilion 7? Yaan milion elfu 7Siongei sana. Soma gazeti la Habari Leo la tar 14/01/2019 ukurasa wa 12 uone jinsi kata moja tu huko Misenye Kagera inavyochanga na kufanya miradi ya maendeleo ya mamilioni kila mwaka. Hiyo ni kata moja tu. Sasa nyie jimbo lote + mbunge na mfuko wake + kanisa + wachaga masikini diaspora mnachanga hela ya km 6 za lami!!!?!! Na bado unasema haijwahi kutokea Tanzania, labda kwa wandengereko! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikosa hilo gazeti sema nikuwekee habari nzima hapa + picha za hiyo miradi + viwango vinavyochangwa na wachangiaji, hata picha ya gazeti nitakuwekea hapa ujisomee mwenyewe maana sisi tunasema na vielelezo kwa kuwa ni KWELI TUYASEMAYO YAPO! Sio nyie sifa za kuiga mkiambiwa mlete vielelezo mnaleta habari za "Haki ya Mungu" [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la muongo huwa hatunzi kumbukumbu. [emoji3][emoji3][emoji3]Kijiji gani porini?? Vijiji vyenu tunavijua haiko hivi. Vijiji vina migomba mikahawa na magimbi. Sasa we unatuletea vihotel vya utalii ndo unatwambia ni kijijini uchagani hapo? Mfyuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app