The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Licha ya kelele zote kwamba uhayani nyumba ziko porini kumbe kwenu hatari tupu???? Dah!!! Hii hatari
Hapa wahaya lazma walale na viatu hasa baada ya kuona chopa zimepaki
Hahaha sundoka njoo hapa please usinikimbieProtea Aishi Machame kijijini...
Vipi Muleba na Bukoba vijijini yote shule ya ghorofa hamna.. Sasa Hotel mnazo?
View attachment 1017845View attachment 1017846View attachment 1017847
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya hapa watalala na viatu walah waombe poo haraka niliwaambia level yao Ni musoma sio uchaganiProtea Aishi Machame kijijini...
Vipi Muleba na Bukoba vijijini yote shule ya ghorofa hamna.. Sasa Hotel mnazo?
View attachment 1017845View attachment 1017846View attachment 1017847
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhaya mla senene ona vituuuuLicha ya kelele zote kwamba uhayani nyumba ziko porini kumbe kwenu hatari tupu???? Dah!!! Hii hatari
We kweli sifa zisizo na tija zimekujaa
Muleba Ina shule za msingi 202 tu
Wakati moshi DC Ina 268
Sasa Nan zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia dawa ikuingie hebu tuone hii shule ya kemebos bukoba na mabasi yake. Hiv KLM kuna shule yenye mAbasi ya malcopolo kama hiiProtea Aishi Machame kijijini...
Vipi Muleba na Bukoba vijijini yote shule ya ghorofa hamna.. Sasa Hotel mnazo?
View attachment 1017845View attachment 1017846View attachment 1017847
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha wahaya wamezoea kelele na blah blah subiri leo tuwanyooshe..Hapa wahaya lazma walale na viatu hasa baada ya kuona chopa zimepaki
Niwaambie tu kuwa Kilimandjaro ni kawaida watu kumiliki chopa msishangae sana mfano mbowe Ana 4 ndesamburo Ana 8 d'avis mosha Ana 3
Mhaya hata Basi hawez milik
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhaya mla senene ona vituuuu
View attachment 1017866View attachment 1017867View attachment 1017868
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Ufaransa hapo au wapi?Muhaya mla senene ona vituuuu
View attachment 1017866View attachment 1017867View attachment 1017868
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekimbilia Bukoba Mjini?Tulia dawa ikuingie hebu tuone hii shule ya kemebos bukoba na mabasi yake. Hiv KLM kuna shule yenye mAbasi ya malcopolo kama hiiView attachment 1017865
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia dawa ikuingie hebu tuone hii shule ya kemebos bukoba na mabasi yake. Hiv KLM kuna shule yenye mAbasi ya malcopolo kama hiiView attachment 1017865
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Machame mkuu, naona wahaya wako hoiNi Ufaransa hapo au wapi?
Ahaaa mmenigalagaza wap fisadi amekubali ndo akaamia kwenye English mediumHahaha unasemaje eti hebu fuatilia previous posts huko juu uone jinsi tulivyomgaragaza instanbul kuhusu hospital
Hahaha kumbe rubisi inaathiri Sana yaan ufananishe bk na Moshi interms of hospital?
Sent using Jamii Forums mobile app
Napo kwenye hospital na makanisa tumewafurushaHahahahahaha wahaya wamezoea kelele na blah blah subiri leo tuwanyooshe..
Tumewapa homework watuletee shule ya ghorofa kuanzia Bukoba vijijini mpaka Muleba. Mpaka sasa wamerudi kulekule kwenye hospital..
Tangia huu ubishi uanze hakuna wanachokibishia zaidi ya Hospital na makanisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wacha kabisa Mambo yako hamuwez tufikia kwa hospital tumeanza n'a za Lutheran tukakutoa knock out tukaja za katoliki ukaomba poo tumekuja kwenye shule naona kimya kimezidAhaaa mmenigalagaza wap fisadi amekubali ndo akaamia kwenye English medium
Sent using Jamii Forums mobile app