instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,610
- 19,807
Kilimanjaro is next level
Utupigie picha lami safi kutoka same gonja
Mwanga Lomwe,usangi
Kule usangi ndan ndan Kuna Hadi crdb bank
Yaan upareni kupo shwari sio Kama kule karagwe,ngara,bmulo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutajia baadhi hapo tuKumbe kelele zooote ni hospitali nne tu!!! Wachagga mna matatizo aisee
Tunabishana na kashule kamoja hako Ka huko rutabo kamachumu.wakati wilaya ya muleba inashule kibao za English medium?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm hapa mantiki yangu ilikuwa Ni kwambia sisi Kilimandjaro nwilaya zote zipo vizuri sio kama nyie mnabagua bmulo,ngara,au karagwe ndio maana Kilimanjaro inazd kupaa kimaendeleo manake wilaya zote zipo vizurUnaona unajichanganya sasa, hatujawahi kuleta utetezi kutoka biharamuro na ngara kwa sababu sio wilaya za wahaya. Hata hivyo hizo ndo wilaya maskini zinazidiwa na wilaya za wahaya kwa mbali sana
Nimekutajia baadhi hapo tu
Zinazomilikiwa na katoliki,sijataja za Lutheran,Wala za serikali uwe unasoma heading hahaha unajifariji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Protea Aishi Machame kijijini...Bas unajifanya kuwa kichaa ili uhalalishe uongo kuwa ukweli
We kweli sifa zisizo na tija zimekujaaHawajui kwamba wilaya ya muleba ina shule za msingi zaidi ya 200 na humo kuna English medium kibao
Hahaha unasemaje eti hebu fuatilia previous posts huko juu uone jinsi tulivyomgaragaza instanbul kuhusu hospitalHata ungetaja zinazomilikiwa na waganga wa jadi ila bado sana kujilinganisha na za bk
Mm hapa mantiki yangu ilikuwa Ni kwambia sisi Kilimandjaro nwilaya zote zipo vizuri sio kama nyie mnabagua bmulo,ngara,au karagwe ndio maana Kilimanjaro inazd kupaa kimaendeleo manake wilaya zote zipo vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwakweli level ya Kilimanjaro labda hapa Berlin
Yaan mm nilitaka kukudhibitishia kuwa Kilimanjaro tupo vizur both uchagani na upareni hiyo ndio concept yanguMantiki yako ina-baae sana kwa wahaya na ndo maana na sisi tunatumia vitu vilivyopo kwa wahaya tu bila kujumuisha hizo wilaya. Hata hizo wilaya zipo Kagera kiutawala ila kwa mambo mengine hapana, kwa mfano bidhaa nyingi wanazifuata Kahama
Hahaha unasemaje eti hebu fuatilia previous posts huko juu uone jinsi tulivyomgaragaza instanbul kuhusu hospital
Hahaha kumbe rubisi inaathiri Sana yaan ufananishe bk na Moshi interms of hospital?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mm nilitaka kukudhibitishia kuwa Kilimanjaro tupo vizur both uchagani na upareni hiyo ndio concept yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani upo radhi kupost gest kuliko nyumba unapolala??[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hawa hawajui maana ya hotel ngoja niwawekee lodge moja iliyopo sanya juu sihaView attachment 1017790
Sent using Jamii Forums mobile app