Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,892
- 5,083
Ww muongo sana mm npo huku vunjo miaka nenda rudi hakuna RAIA aliyechanga pesa kwa ajili roads za huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha dah nimecheka. Et nini??? English medium zimejaa huku vijijini sio kawaidaLete shule ya English medium iliyopo vijiji vya wahaya.. teh teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani aliyewajengea kairuki hospital sio muhayaMkuu umemaliza kila kitu.. Bila juhudi za waKaskazini hiyo hospital isingekuwepo..
Muhaya atoe pesa akujengee hospital Moshi, thubutuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwenu hizo ndio nyumba Kali?Mkuu hata kamachumu hawaijui hawa, mitaa ya kamachumu ni kama hii hapo chini. Hapo ni barabara ya kwenda rutabo mtaa wa bugonzi View attachment 1017799
Umewakamata mkuu hawa wapenda misifa. Wanajua kulewa mbege tuWw muongo sana mm npo huku vunjo miaka nenda rudi hakuna RAIA aliyechanga pesa kwa ajili roads za huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafika hata robo hii iliyopo machame ndan ndan huko?Jipe moyo primary kishuro nshamba mulebaView attachment 1017802View attachment 1017803
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyumba zimebanana kama za uswahilini ndio mnasema ni kijijini hapo?Mkuu hata kamachumu hawaijui hawa, mitaa ya kamachumu ni kama hii hapo chini. Hapo ni barabara ya kwenda rutabo mtaa wa bugonzi View attachment 1017799
English Medium[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jipe moyo primary kishuro nshamba mulebaView attachment 1017802View attachment 1017803
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nyie mneshikwa pabaya kwahiyo hata kufuatilia mradi uitwao vunjo développement commitee mmeshindw? Nyaraka zipo waz na mradi huo ulikuwa umesitishwa na DC lkn jpm akauruhusu na hadi tunavyoongea mradi unaendelea hususan kata za mwika kusini,marangu magharibi,kahe nk picha hizo hapoUmewakamata mkuu hawa wapenda misifa. Wanajua kulewa mbege tu
Huu uchafuuu fananisha na hii ghorofa ambayo inazidi kupanda..Jipe moyo primary kishuro nshamba mulebaView attachment 1017802View attachment 1017803
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mkuu hebu waletee picha za machame, kibosho,kilema au rombo kama hawajazimia vinyumba vimebanana kama uswahilin havina hata geti eti kwao ni mijengo ya kifahari hahahsSasa nyumba zimebanana kama za uswahilini ndio mnasema ni kijijini hapo?
Hahahahaha sasa Kamuchumu si ni pa kulinganisha na Bomang'ombe hapo..
Tumemwambia alete picha za English Medium ya kijijini yeye anatuletea Muleba mjini [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuonyeshe moja tu kama hii..Hahahahaha dah nimecheka. Et nini??? English medium zimejaa huku vijijini sio kawaida
Kwani kagondo na ndolage zilizopo muleba ni hospitali teule.kwanza kagondo inaizidi uwezo Rubya ingawa ni hospital ya wilayaHii rubya hospital haijafikia hata robo kilema hospital
Japokuwa rubya ndio hospital teule ya wilaya muleba ilhali kilema ni hospital ya kawaida isiyo ya wilaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa English medium Ina vidarasa vya kimo Cha futi 3 urefu hahahaEnglish Medium[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona imejichokea. No wonder inaitwa Primary School hahahaha kishule chakavu ka serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza si ulete picha za makazi lakini??Sasa ikiwa vijijin kuna hotel zenye hadhi hii makaz si ndio yatakuwa ulaya?
Manake watu wana pesa ndio maana kuna hotel Nan atajenga hotel kusiko na pesa?
Alafu itakuwa kichekesho mhaya amzid mchaga kwa hôtel mhaya na biashara wapi na wapi
Vigest vyenu bukoba vina makaratasi ya nailoni hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha Kwa lipi Kwa mfano nyie ni waongo na mna uhaba wa pichaTatizo Lao Ni wabishi dawa nikuwPa za uso kipindi kile eti walikuwa wakilinganisha ki bukoba na Moshi wakawa Wana post vigofu vyao weee hatukuwajibu wakaendelea weeeee
Sasa tukaamua kuwaumbua si unaona akina sundoka,kaina,great haya wamekimbia wote ?
Amebaki huyu instanbul nae naona jahaz linamzamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniambia mimi nitembee upareni?? Kwamba sipajui ama? Na mwezi ujao nakuja huko nitapiga picha huko huko ndo mlie vizuri sasaTembea upareni uone kulivyo safi vijiji na wilaya vimeungnishwa l'ami mfano mwanga usangi ugweno,Lomwe ni lami,same hadi kule juu gonja ni lami
Kilimandjaro ni ulaya ya tz hongereni watan zangu wapare
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha kiinglish medium ukituka unagusa bati.. kashule kamechakaa..Nashangaa English medium Ina vidarasa vya kimo Cha futi 3 urefu hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app