habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
wanajukwaa,
HALI YA KISIASA NI MBAYA SANA NCHINI MISRI HIVI SASA.
NI DHAHAMA, DAMU NA MAUAJI YANAYOFANYWA NA SERIKALI HARAMU YA KIJESHI ILIYOPINDUA SERIKALI HALALI ILIYOCHAGULIWA NA WANANCHI.
CHAMA cha muslimu brotherhood kimetangaza kuwa wafuasi 200 wa rais wa zamani mohamed morsi wameuawa asubuhi hii na jeshi la nchi hiyo kwenye mapambano na wananchi. maelfu wamejeruhiwa na wako hospitali.
WATANZANIA TUNAJIFUNZA NINI MISRI??? KUNA WATU WANATAMANI YA MISRI YATOKEE TANZANIA, YA LIBYA YATOKEE TANZANIA, YA SYRIA YATOKEE TANZANIA. JE SIASA NI KULA ROHO ZA WATU?? NAKUMBUKA MWALIMU NYERERE ALIWAHI KUSEMA KUWA ANAYEKULA NYAMA ZA WATU HUWA HAACHI.
MY TAKE; WATANZANIA TUFANYE SIASA LAKINI TUSIHAMASISHE VURUGU NA MAUAJI.