tunajifunza tusichanganye siasa na dini. unatakiwa kuongezea kuwa waandamaji wanatolea hasira zao kwenye makanisa kwa kuyachoma moto.
Watanzania tunatakiwa tuache upuuzi wetu wakushabikia maswala hatari kama haya ya kuchanganya dini na siasa
'
'Churches in Sohag, Upper Egypt and Heliopolis, Cairo are said to have been attacked in retaliation to sit-in clear-outs''
View Article
[url]www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-23662698 [/URL]
Ni kiini macho kilichopitwa na wakati kwamba eti "siasa na dini hazichanganyiki". Ukweli ni kwamba masuala yoooote yanayohusu maisha ya mwanadamu kama siasa, uchumi, utawala, ujeshi, nk, nk, yoooooote yana chanzo chake katika dini.
Isitoshe masuala yote haya yanapelekea kuwa mema pale yanapo-trace chanzo chake na asili yake katika dini, at least kwa mujibu wa dini ya Uislamu ni hivyo. Na hupotoka na kupelekea kuwa uovvu pale yanapopuuza chanzo chake na asili yake inayokuwa-traced katika dini.
Inaeleweka kwa nini wakristo na madhehebu yao kupuuza chanzo chao ambayo ni dini yao. Ni kwasababu hawapati na hawatosheki na majibu yanayotolewa na chanzo chao hicho (dini yao - christianity na maandiko yao - biblia), na hiyo ndio sababu ya wao na makanisa yao ku-invent hii secularism ambapo masuala yanayohusiana na maisha ya mwanadamu kama siasa, uchumi, michezo, mahusiano katika jamii, nk, nk, yameng'olewa kutoka 'ardhi ya asili yake'-dini (mafundisho ya dini) na kupandikizwa katika chanzo kingine (ardhi nyengine) isiyokuwa na rutuba bora na imara mbele ya Mwenyezi Mungu kama vile secularism na demokrasi.
Matokea ya kuyapandikiza masuala yanayohusu maisha ya mwanadamu katika 'ardhi isiyo asili yake - secularism na demokrasi' ni mabaya sana, kwa ufupi ni kukosa ustawi na dira. Ardhi ngeni ya 'secularim na demokrasi' ambayo christians wamejisahau na kupandikiza capital yao yote (maisha yao yote) hairutubishi isipokuwa matunda maovu na machafu. Bahati mbaya ni kuwa wakristo sio kwamba wanakula tu haya matunda maovu na machafu, bali wanafakamia mpaka wanavimbiwa, manaake sasa hata suala la 'religion and spirit' wameshayapandikizo huko huko kwenye ardhi ngeni ya secularism na demokrasi, na matunda yoooooote maovu na machafu yanayoota wanafakamia. Mfano hai ni huku kwa wakristo mpaka viongozi wao kuelekea kupanda ngazi katika masuala ya 'so-d-o-ma na g-om-o-ra' mpaka kufikia kuweka misingi imara ya uchafu huu kwa kubariki ndoa za wafanyao uchafu huu katika dini yao. Na bado, bali AntiChrist atawabana koo mpaka muingie pamoja nao motoni jahannam. Mmetenganisha na kuyasambaratisha mbali mbali masuala ya kimaisha ambayo Mwenyezi Mungu kayaweka pamoja na kuyafanya yakutane katika mlingoti wa dini, sasa mtakiona cha moto, safari yenu imeaanza kuelekea motoni, Mwenyezi Mungu kakuondosheeni uongofu mpaka kila lililo ovu nyinyi mnaona zuri, na kila lililo zuri nynyi mnaona ovu, kibri, na hiyo ndio recipe ya watu wa motoni.
Katika Uislamu ni simple, mambo yoooooote yanahusu maisha ya mwanadamu na walimwengu woote ( siasa, uchumi, elimu, michezo, haki za binadamu, nk, nk) yana-trace chanzo chake katika dini, yanakutania katika asili yao hiyo ya dini, na kuhusiana, kuwa na maingiliano na kujenga himaya na nguvu katika mlingoti wao huu wa dini. Kwa hivi, kinyume na wakristo, waislamu wanakuwa na ustawi wa wanachopanda na kuvuna na dira ya wanakoelekea, once again, wakirsto wanaona the opposite, zuri wanaona baya na baya wanaona zuri isipokuwa kwa wale wenye imani ya kweli.
SIASA NI MOJA TU YA MASUALA YA KIMAISHA YA MWANADAMU, NAYO KAMA MASUALA MENGINE, HAIJICHOMOI KUTOKA KATIKA DINI ISIPOKUWA ITAANGUKIA KWENYE MAANGAMIZI. INATAKA MACHO YA MOYO KULIONA HILI YANAYOKUWEPO KUTOKANA NA KUMCHA MWENYEZI MUNGU -ISLAM