Wananchi 200 wauawa nchini Misri asubuhi hii

Wananchi 200 wauawa nchini Misri asubuhi hii

Hawa Wamisri nao ni watu wa ajabu sana! Waliwaweka madarakani Muslim Brotherhood wakitegemea nini? Na bado, cha moto watakiona hadi watakapopata akili waachane na kuchagua viongozi kwa kuegemea udini.

Ulitaka rais achaguliwaje kama sio kwa kura?yale ni maamuzi ya wengi
 
Ukitaka kuamini fuatilia hii link
‫

Eti Waislam wenye msimamo mkali Muslim Brotherhood, slowly changing to Terrorist Group. Haya ndiyo tunayoyakataa hapa nchini wengi hawajui kwamba chanzo cha kufikia hapo walipofikia Wamisri ni mihadhara ya kidini kisha kuunda kikundi ambacho baadaye kinajifanya kuvua gamba na kuwa kikundi cha "Kisiasa" kisha kinaingia madarakani na kuendeleza UDINI kama alivyofanya Mohammed Morsi, nalisifu sana jeshi likamtoa kitini apumzike watu waweze kuishi kwa amani.
 
Hiyo ndiyo amani?
 
Hawa Wamisri nao ni watu wa ajabu sana! Waliwaweka madarakani Muslim Brotherhood wakitegemea nini? Na bado, cha moto watakiona hadi watakapopata akili waachane na kuchagua viongozi kwa kuegemea udini.

Hata TUNISIA hali ni Mbaya Waliweka Chama cha Kidini na wanajuta sasa, Wanatamani na huko waandamane tena hata leo.

IRAN pia wananchi waliamua kuachana na wahafidhina na sasa wamechagua Moderate ambaye na yeye baraza lake la mawaziri asilimia kubwa ni moderate kwa sasa.

Kifupi vyama vya kidini vinaelekea kufa huko Mashariki ya kati na inatokana na kushindwa kwa sera zao, Japo hujuma ni nyingi wanazofanyiwa maana hata mIsri jeshi lilifanya hujuma nyingi kimyakimya.
 
Yatatokea tuu kama CCM hawataki kutoka madarakani na wakiendelea kuiba kura mwisho uvumilivu utawashinda watu. Ukiona haya yanatokea ujue watu walishavumilia sana wakachoka kwani unadhani ni wajinga mpaka waamue kufanya hivyo? CCM ndio wataoa sababusha haya kama ambavyo yamesababishwahuko na ugandamizaji uliofanywa kwa miaka mingi na vyama tawala vya nchi zao. CCM WAJIFUNZE NA WAANZE KUJIANDAA KUONDOKA KWA AMANI.

Unatumia kichwa kufikiri?
 
Hawa Wamisri nao ni watu wa ajabu sana! Waliwaweka madarakani Muslim Brotherhood wakitegemea nini? Na bado, cha moto watakiona hadi watakapopata akili waachane na kuchagua viongozi kwa kuegemea udini.
mkuu kumbuka kuwa wanaouawa ndio hao muslim brotherhood unaowalaumu
 
Kuhusu yanayotokea Misri CCM na Serikali iliyoko Madarakani hapa Tanzania inatakiwa ijifunze kwa tukio hilo kwani tumeshuhudia viongozi mbali mbali wa CCM wakijinadi kuwa hawawezi kuikabidhi nchi kwa wahuni je ikaja tokea hao wanaoitwa wahuni wakashinda katika Uchaguzi 2015 na kwa kauli za hiongozi hawa ambazo zimehifadhiwa kama kumbukumbu na kweli wakakataa kuachia madaraka yanayotokea Misri yatatokea Tanzania kwani CCM watatumia vyombo vya Dora kulazimisha kutawala kama walivyoanza sasa. Kitu muhimu ni kukubari matakwa ya walio wengi Nchini Misri Chama cha Muslim Brotherhood kilichaguliwa na wananchi na kikaonekana kushindwa kuongoza na kuwaletea wananchi kile walichokihitaji, Busara ingetumika haya yasingetokea.

Na cdm wakipewa nchi itawashinda then kitanukishwa.
 
Anayekula roho za watu hapo ni nani? Ni wafuasi wa Muslim Brotherhood na Rais wao aliyeondolewa madarakani akichochea wafuasi wake. Prof. Muhamad Morsi hana tofauti na baadhi ya ma-Prof. wetu hapa ambao wameanza kampeni kwenye majumba ya ibada kuchochea chuki. Tanzania tunajifunza kwamba tusipowaepuka viongozi wa aina hii hakika tunaelekea huko huko Misri iliko.
mkuu, wewe unaonekana una chuki ya asili na waislam na huna hoja zaidi ya kupandikiza chuki, migogoro na husda.
wanaokufa kwa kuuawa ni hao muslim brother hood, halafu unawalaum. au tatizo lako ni hilo jina?? acha ujinga acha chuki acha ubaguzi. jeshi la misri limepindua rais aliyechaguliwa na wananchi halafu linauwa watu wewe umeziba masikio kwa pamba au hujielewi??
 
Wanatufundisha kwamba watu aina ya ponda na Ibrahimu lipumba ni wakupigwa risasi za vichwa kwa sababu wanaeneza udini kwenye siasa za Tanzania..
wanajukwaa,

HALI YA KISIASA NI MBAYA SANA NCHINI MISRI HIVI SASA.
NI DHAHAMA, DAMU NA MAUAJI YANAYOFANYWA NA SERIKALI HARAMU YA KIJESHI ILIYOPINDUA SERIKALI HALALI ILIYOCHAGULIWA NA WANANCHI.
CHAMA cha muslimu brotherhood kimetangaza kuwa wafuasi 200 wa rais wa zamani mohamed morsi wameuawa asubuhi hii na jeshi la nchi hiyo kwenye mapambano na wananchi. maelfu wamejeruhiwa na wako hospitali.

WATANZANIA TUNAJIFUNZA NINI MISRI??? KUNA WATU WANATAMANI YA MISRI YATOKEE TANZANIA, YA LIBYA YATOKEE TANZANIA, YA SYRIA YATOKEE TANZANIA. JE SIASA NI KULA ROHO ZA WATU?? NAKUMBUKA MWALIMU NYERERE ALIWAHI KUSEMA KUWA ANAYEKULA NYAMA ZA WATU HUWA HAACHI.

MY TAKE; WATANZANIA TUFANYE SIASA LAKINI TUSIHAMASISHE VURUGU NA MAUAJI.
 
Huu ushauri wako ungewapa akina Nchemba,Nape n.k au viongozi wa ccm wanaodhani
hakuna mabadiliko kwa njia ya amani.
 
ukichambua kwa undani mgogoro wa misri ni mataifa ya nje hususani MAREKANI kuwa na wasiwasi na chama cha MUSLIMBROTHERHOOD,hivi kama MOHSI alisshinda kiuhalali kwanini jeshi limtoe?
 
Acha wauwawe tu, hata kule Nigeria Boko haramu wameua waumini 44 tena waislamu wenzao... Mungu anawalaani sana na mambo yenu ya dini!
mkuu, wewe unaonekana una chuki ya asili na waislam na huna hoja zaidi ya kupandikiza chuki, migogoro na husda.
wanaokufa kwa kuuawa ni hao muslim brother hood, halafu unawalaum. au tatizo lako ni hilo jina?? acha ujinga acha chuki acha ubaguzi. jeshi la misri limepindua rais aliyechaguliwa na wananchi halafu linauwa watu wewe umeziba masikio kwa pamba au hujielewi??
 
matakwa ya wananchi ni lazima yaheshimiwe. ccm wanatakiwa walielewe hilo. kung'an'gania madaraka ni kubaya. wananchi ndio wanajua wanachokitaka.
 
Hapana mkuu hapo unakosea, Wamwachile Morsi mtaani aje resolve mambo.

alichokuwa anafanya morsi ni uhaini na haiwezi kukubalika kabisa. mambo kama spying for hamas and other terroris groups, kutaka kuuifanya misri nchi ya kiislam, unategemea israel na US wangemchekea? hao muslin brotherhood wote wataondolewa hapo na wasahau kabisa kuingia tena madarakani.
 
Anayekula roho za watu hapo ni nani? Ni wafuasi wa Muslim Brotherhood na Rais wao aliyeondolewa madarakani akichochea wafuasi wake. Prof. Muhamad Morsi hana tofauti na baadhi ya ma-Prof. wetu hapa ambao wameanza kampeni kwenye majumba ya ibada kuchochea chuki. Tanzania tunajifunza kwamba tusipowaepuka viongozi wa aina hii hakika tunaelekea huko huko Misri iliko.
Huyu bwana Morsi inasemekana ni mhalifu aliyetoroka jela kama siyo kizuizini. Kwa hiyo ana kesi ya kujibu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Waambie CHADEMA!!! wanajidai nchi haitatawalika kama wafuasi wa Morsi.

Kuwafananisha Chadema na Muslim Brotherhood unakosea kaka. Badala ya kutoa vivid example wewe unatoa irrelevant one wakati mifano halisi imejaa tele. Kuna wale jamaa akiwamo Prof. wanaoendesha harakati za kisiasa kwenye majumba ya ibada ni mifano halisi na tosha kabisa.

Hata uwe na elimu ya kiwango gani ukiwa mdini sifa nyingine zote zinakuwa overridden; kumbuka Muhamad Morsi pia ni Professor tena alisomea Marekani na kufanya kazi huko kwa muda mrefu kama huyu wa kwetu.
 
Back
Top Bottom