Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,437
- 4,828
]
Ahahaaa
Nalo neeno..dah
]
Ahahaaa
Nalo neeno..dah
Asantee
Mbona ntalala hoi mimi kwa kujilambaa!!
karibu kwetu moshi uje ule machalari.............
roshoro,mtori hapo lazima awe bonge
Zote zinapatikana kwa ustadi mkubwa
Kwa nyakati tofauti waweza kuhagua ngumu au urojo urojo!
Karibia na huu mwaka unaisha, watu wana usernames na Avatars za tofauti.
Wengine wana username na avatars nzuri, zinazovutia sana mpaka huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Smile, Sweet, Charminglady, PF
Wengine wana usernames na avatars zinazotisha kiasi kwamba huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Hamnazo, Gambas, Mlevi,
Kabla mwaka huu haujaisha, naomba tujuane kijamii forumn.
Kwa nini ulichagua hiyo username na avatar hiyo?
Naanza na mimi mzee wa kazi LINCOLINMTZA
Username ni kwa sababu ya raisi wa Marekani aliyekuwa na busara sana bwana Abraham Lincoln
Abraham Lincoln - Wikipedia, the free encyclopedia
Avatar ni kwa sababu napenda watoto ambao ni taifa la kesho.
Wewe je?
Kiburu,ngararimu na kilalolo je?????
ilikuwa kwenye movie inaitwa 'Analyze this'
ya De Nero akaulizwa na dokta wake
'what do you do for a living'
akajibu ' i am the boss' 'i don't do anything' ...
nilicheka sana
Aisee...basi burudani
vyote vipo ni nyie tu kwetu hatunywi chai ni supu mwanzo mwisho