WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Avatar yangu kiukweli napenda sana kuwa mtu tofauti katika jamii hasa kua very smart na hivi majuzi tu nimenyoa nywele, nilikuwa na bonge la afro. Id ya kwamtoro ni tarafa moja nzuri sana ipo wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma. kwamtoro ndipo sehemu nilipozaliwa na kukulia kwa kiasi fulani. kwamtoro ni sehemu iliyochangamka,ukiwa na pesa unaishi maisha as if upo town kabisa. Napapenda sana

wewe unatokea wilaya ya CHEMBA?? dah!!! umenikumbusha sana msitu wa MTUNGUTI na kijiji cha kelema na Haneti tutafutane
 
wewe unatokea wilaya ya CHEMBA?? dah!!! umenikumbusha sana msitu wa MTUNGUTI na kijiji cha kelema na Haneti tutafutane

gfsonwin heshima yako dada yangu. Uchangiaji wako hunikuna hapa Jukwaani pamoja na hiyo Avatar yako. Hebu dadavua hiyo username yako na avatar ili nimalize internal conflicts zangu leo hii na wala siyo kesho!
 
as for me jina Daviey imetokana na jina langu kuitwa davy na 69 guyz mnajua what style ........ is that!
kuhusu avator well, angalia simba huyo anavotembea na kichwa alivyokiweka do u c anything?
 
hehe heheeee
nimependa sana namna ambavyo avatar za wanawake wengi Jf ni za warembo na uzuri wanaozitumia nao wanafanana nazo .. JF is blessed. Me mshindwe tu ..tehe.

Back to topic: ukiondoa girl, NEG ni ufupisho wa jina langu. Avatar.. napenda sana watoto na nina hamu sana na baby girl. May GOD BLESS ME WITH A BABY GIRL THIS YEAR. AMEEEEEN
 
Chum Kane the guy with the mind of a MURDERER and heart of a SAINT....from the novel by julia roberts...Avatar i look somehow like the guy +he is german,..i have a german blood.
 
Chum Kane the guy with the mind of a MURDERER and heart of a SAINT....from the novel by julia roberts...Avatar i look somehow like the guy +he is german,..i have a german blood.

JF ni kiboko mkuu.
 
Ya kwangu imetokana na wimbo wa wenge bcbg unaitwa banalunda huwa naupenda sana na avatar yangu u can feel it how much i love my .....

Mkuu upo dodoma? kuna jamaa yangu yupo dodoma anaipenda sana wenge bcbg
 
User name yangu inawakilisha herufi ya kwanza majina ya watoto wangu. Avatar yangu ni picha ya Rihanna kwa kuwa nampenda sana ni mimi ni fan wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom