I'm on my way...
Kiburu,ngararimu na kilalolo je?????
hahahaaa...jangwani unapapata kumbe...mitaa ya kwetu karibu na shule... Kanta nlisoma o-level
Taitu kalesa. Kiluvya Gogoni, kwa Komba au Madukani?Posuta...
Amavubi inajitosheleza
avatar na user name vyote vinani-describe mimi kwa uhalisia jinsi nilivyo.
.....Ya kwangu imetokana na wimbo wa wenge bcbg unaitwa banalunda huwa naupenda sana na avatar yangu u can feel it how much i love my .....
LINCOLINMTZA mimi username yangu niliamua kuchukua maneno ya forum hii yaani JAMII FORUM sasa nikaona nijiite JAMIIF ...hiyo avatar inereflect kwa kiasi kikubwa muonekano wangu..kwani hata mie huwa najitanda na ninaelekea kufanana na huyo mdada hapo....thread yako ni nzuri at least tutafahamiana vzr wadau wa hapa jf...asante sana mkuu, nimeipenda thread.
username ....move ya beyonce! nimetoka kuwatch kama leo ss kesho yake nikajiunga jf was real obsesd na ile movie bs nikajikuta nimeandika ilo.
avatar! me toto la kisomali fulan iv shombe shombe baibe.
My user name imetokana na movie moja hivi....but I think it do describe alot of things pia
My avatar describes one of my character "A very shy girl"