WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Mamamaaa kumbe nafuatiliwa duh ndo umeniacha hoi kabisa najua sisi sio wapenzi lkn in general kusema kitu ambacho huwezi kueleza kina chake kinaonesha udhaifu wako kwa namna moja au nyingine!!

Kudadadeki!
Hapa utaniumisha kichwa bureee!
Coz unaona utaonekana siiiiie ukikubali hapa!
...
Si unaona mwenyewe unavyozunguka sana!
...
Nakuja PM!
Na uthiponijibu nakufungulia thired!
Hihihihihihiiiiiiiii!
 
Kudadadeki!
Hapa utaniumisha kichwa bureee!
Coz unaona utaonekana siiiiie ukikubali hapa!
...
Si unaona mwenyewe unavyozunguka sana!
...
Nakuja PM!
Na uthiponijibu nakufungulia thired!
Hihihihihihiiiiiiiii!
unanipa mpaka vitisho mwe....majanga matupu....
 
Mjane natumia jina hilo kwakuwa mume wangu amefariki.

ooh jamani pole sana, Mungu atakujaalia mwingine au atakupa wepesi wa kuishi na kutunza familia bila yeye.
 
itabidi wewe na Mashaxizo mteam up....

Najijua ninaweza
Mimi ninauwezo wa kutimiza mahitaji na haja zote za mwanamke yoyote duniani bila tatizo
Sasa team ya nini?

I can handle anythin on my own
Njoo kwangu upate furaha!
 
Nilipoanza kubishana na proccm nikagundua kunawatu hawatumii akili zao ipasavyo ni kama wanatumia unconscious mind ndo nikajiita kinyume chake.
Ninatabia ya kusema ukwel ukubal usikubal sina tym ndo maana kweny avatar kama naondoka n most of life nipo lonely hiyo avatar inawakilisha hilo pia
 
Sikumbuki nilikuwa nafanya nini mtandaoni nikaona pic ya huyu mdada...nilipenda stail yake ya nywele na lips!!

Mashallah....halafu ziwe zamung'unya chocs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom