WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Mani ni kifupi cha jina la mwanangu hiyo avatar huyu mbaba nilitokea kupenda kutumia picha yake
 
nilipenda jina chujio maana inaakisi tabia yangu ya kuwa selective kwa vitu vingi, zaidi maneno ninayotumia, mara nyingi napenda kujizuia kuteleza kwa ulimi kwahiyo ni kama uchujaji wa maneno...kuhusu avatar.....nilipenda sababu huyo mdada ni kama anaangalia kitu kilicho mbali kwa umakini na utulivu
 
Username means flower hustawi columbia
Tena wakati wa winter tuu
Tena highlands areas tuu
Ni special ikanifanya niitumie

Avatar hiyo ina ni reflect kiaina kasoro nywele tuu!!!
 
mim imetokana na mwanangu kupenda sanaa katooni ya pooh!!!
 
User name yangu masterc'09,,master ni nickname nilipata junior seminary was given ba father mmoja ......."c" ni herufi ya kwanza ya jina langu .....na '09' hii ni code ya mwaka (2009) nilioanza computer studies basically Comptr science na Comptr Application .....Avatar ni picha yangu halisi.'09
 
User name ni jina langu nlipewa na grandpa wng alikua anaitwa Mcdonalds though nikabatizwa na jina tofauti hii Avatar ni mtazamo wng kwny athari za kivita na ni kati picha 10 bora kwny photojournalism award ikiongozwa na ya The late Kevin Carter nnayoitumia kwny social networks zote zilizobaki.
 
Ni jina la eneo ulipo uwanja wa emirate,mie ni shabiki wa arsenal kwa heshima nimeamua kutumia jina hili na siku zijazo uwanja wetu utatumia hilo jina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom