WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Ha ha ha lol wewe mchokoziii!!!!

Hakuna cha uchokozi wala nini!
Nahisi inafall under many requirements which i prefer save your weaknesses!
...
Just niambie nije PM or nikuanzishie thired!
 
Seriously.

Yaani unanifanya hadi hapa nilipo hii chai nayokunywa niione chungu just niki imagine the way you feel always....nimesoma na signature yako it speaks volumes
 
hahaaa watu8 hata mimi jina langu na Avatar sawa kabisaaaaaaaaa......sina matatizo....sema inaniletea matatizo kwa sababu baadhi ya watoto hapa ndani hawajibu PM zangu wakidhani napiga sana gambe....daamn

CC Karucee
 
Last edited by a moderator:
Yaani unanifanya hadi hapa nilipo hii chai nayokunywa niione chungu just niki imagine the way you feel always....nimesoma na signature yako it speaks volumes

umeona enhee....na mie imebidi nisome signature yake tena......nimejisikia uchungu pia hapa
 
Yako vipi mkuu....

oops nimesema apo juu sasa ivi

Nimependa kama unaipenda Katavi National Park...nilifikaga huko miaka kama saba imepita....awesome....Mpanda mjini pale saa hizo hapana uwanja wa kisasa wa ndege
 
Kumbe umezaliwa huko Katavi nimewahigi kufika huko....

Mpanda hotel Kashaulili wakujua huko

hiyo yote ndio mitaa yangu ya kujidai.....Mpanda hotel nimeishi sana wakati mtoto kabla sijahamia Sumbawanga mjini kwa ishu za shule.
 
Last edited by a moderator:
oops nimesema apo juu sasa ivi

Nimependa kama unaipenda Katavi National Park...nilifikaga huko miaka kama saba imepita....awesome....Mpanda mjini pale saa hizo hapana uwanja wa kisasa wa ndege

unaonekana mzee wa Gambe kwa sana.....

Karibu tena mkuu Mpanda katika mkoa mpya wa Katavi...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom