WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Hihihihiii!
Uthjifanye umethahau! Si wewe uliethababisha niekewe bifu na .....!
Mi nilijua mmeo!
...
hapana chokonoa Mashaxizo!
Kuna issue sio za kuongea! Pendi, pendi, pendi!
...
Labda nikuulize hivi nilishakuambia love you mara ngapi?
Bifu na nani hebu mtaje!!!Umesoma ule uzi wa The Boss??
 
Last edited by a moderator:
TYTA-NILIPEWA NA ROOM-MATE CHUONI(UDSM),.kipindi cha boom likikata chumba chote wanakuwa choka mbaya,sasa miye nilikuwa namaintain menu ileile,nikawa naonekana kama young tycoon vilee.ndio wakanipachika hilo jina.
Avatar-napenda funny avatars,,just to make people smile when they see it ,,,,inanikumbusha nisichukulie maisha too serious.....
 
well well naona nikupm lol!

hope u wont be shocked....... na ukaanza kunin'gang'ania ukasahau wake zako woote, siko tayari kumwagiwa tindikali.

assure me that one pse.

haaaa karibu, mi sio king'ang'anizi kabisaaaaaa
 
User name ni kifupi cha jina langu la asili..lile la nyumbani...
Avatar yangu ndio mie.....
 
Ukiona hivo hakuna kitu:smile-big::smile-big::smile-big:

Hahahahahaaa!
Ok! Nimeisouma hiyo mada ya Ze boss!
...
kumbe umekremu!
1 There is no general rule without exceptions!
..
2 Kule kalenga hivi:
1-wapenzi!
2-maneno ya kuambiwa!
...
Mi na wee sio wapenzi!
Na nilichosema sikuhadithiwa na yeyote!
...
Afu kwanini ung'ang'anie hapo???
...
Ivi haujui kunampango wa kufuatiliana humu ndani?
...
Mi nakudoea, unang'aang'aa sharubu tu!
Usinitaftie sababu bhana!
Hihihihihiiii!
 
Hahahahahaaa!
Ok! Nimeisouma hiyo mada ya Ze boss!
...
kumbe umekremu!
1 There is no general rule without exceptions!
..
2 Kule kalenga hivi:
1-wapenzi!
2-maneno ya kuambiwa!
...
Mi na wee sio wapenzi!
Na nilichosema sikuhadithiwa na yeyote!
...
Afu kwanini ung'ang'anie hapo???
...
Ivi haujui kunampango wa kufuatiliana humu ndani?
...
Mi nakudoea, unang'aang'aa sharubu tu!
Usinitaftie sababu bhana!
Hihihihihiiii!
Mamamaaa kumbe nafuatiliwa duh ndo umeniacha hoi kabisa najua sisi sio wapenzi lkn in general kusema kitu ambacho huwezi kueleza kina chake kinaonesha udhaifu wako kwa namna moja au nyingine!!
 
my user name its ma tribe and am proud to be in that tribe....
my avatar i use and i will never stop loving flowers na hili ua lipo home huwa nalipenda sana...............
 
Username ni tabia yangu ya kua maranyingi nafanyautafiti ndio uamuzi unafuata na picha ni huyu jamaa napenda jinsi alivyokua (mohamed ali)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom