WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

avatar ya Smile siielewagi hata kidogo!
 
Last edited by a moderator:
nilikutwa na majanga baadaye nikajifunza kuwa siku zote '''Ujinga ni saa ya kwenda, siyo saaa ya kurudi'' na ndiyo principle yangu kwa sasa
 
My user name imetokana na movie moja hivi....but I think it do describe alot of things pia

My avatar describes one of my character "A very shy girl"
kama nakuona vile unavyojificha uso niangalie basi mamaa haa ha ahaaa:smile-big:
 
Just know me ni mtuflani hivi npo somewhere in Tanzania. Avatar yangu is just a message of encouragement kwa vijana wenzangu tunaotafuta maisha.
 
Horseshoe Arch - a round arch that widens before rounding off. Is an arch formed in a continuous curve; characteristic of Roman architecture & an arch formed in the shape of a horseshoe, esp as used in Moorish architecture!

Avatar yangu imetokana na mapenzi yangu kwenye crime & Investigation movies/stories of whom Agents wengi hulazimika kuficha identification zao/kuwa covered till mission imekamilika! Tunafight against ujinga,maradhi,umasikini na udhalimu wa kila hali so ni must kuwa under cover till mission ikubali!
 
Mi napenda mashamba. Nikajikuta nina mashamba kadhaa ndo nikaamua kujiita Mamndenyi nikimaanisha ..........Mama wa shambani.
 
Last edited by a moderator:
Ya kwangu ni tahadhali kwenu ninyi..........malizieni..
 
mimi binafsi sasa! serengeti boy..

username yangu ina mengi sana ndani..

kwanza, inabeba jina la wilaya, Serengeti, wilaya ambayo ni lulu katika nchi hii ya Tanzania!

Wilaya hii ya Serengeti ina watu zaidi ya 190,000! na mbuga yetu yenye wanyama tofauti tofauti na kiashiria cha

maajabu saba ya dunia!

msiogope kuitembelea serengeti national park, kama ni accomodation ndani ya park, basi msihofu, ndani tuna lodge nne

zenye hadhi ya nyota tano tano ambazo mojawapo ni former bilila lodge ambayo tuliifungua mwaka 2009 (kwa sasa

inaitwa four seasons safari lodge), its a five star lodge! karibuni sana!

kwa mtakaotaka picha!!!
SERENGETI.jpg
SERENGETI2.jpg


9k=


kuhusu avatar, nadhani ujumbe uliobebwa ndani ni mzito sana na unajieleza wenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom