WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Mi nimetumia kwa vile napenda sana hiyo makitu.
 
username ....move ya beyonce! nimetoka kuwatch kama leo ss kesho yake nikajiunga jf was real obsesd na ile movie bs nikajikuta nimeandika ilo.
avatar! me toto la kisomali fulan iv shombe shombe baibe.
 
Unataka kunioa?:shocked::shocked::shocked::A S-confused1::A S-confused1:

Mbona haraka hivyo?

Huko sio kwa kuzungumzia sasa
Kuna mambo kabla ya kwenda huko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom