Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,355
ila kule kwenye gesi ni karibu...LOL....mie siku nitaenda best
My avatar describe my all time feelings.
Username ni majina yangu kwa ufupisho.
Avatar look like ur innocent man
My user name imetokana na movie moja hivi....but I think it do describe alot of things pia
My avatar describes one of my character "A very shy girl"
Napenda sana kumumunya chocolate
tatizo woga wako kwamba ntakufirisi huhuhuhu hilo jina linakutisha sana eee
heheheheeeee umetisha sana
Me Id yangu inatokana na dawa ya kichwa zamani kipindi cha nyerere...ilikuwa inaitwa aspro..wakati huo ukitumwa dukani unaenda unaimba asporo asporo asporo vinginevyo unasahau...duh kitambo kweli