WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Mh! Mi hata sijui nilipata wap hiyo ID na hiyo avatar sijui nani aliniregister loh!
 
Hapa naona fursa zinawatembelea Kaizer na watu8 :kisses:
 
Last edited by a moderator:
ni jina langu halisi...allan limetoka ktk novel maarufu ya H.R.Haggard inaitwa king solomon's mines hole...mashimo ya mfalme suleman
 
leo naona nimeamkiwa mhhhh.... obsesd ni shombeshombe wa manywele pia tazama avatar yake Mashaxizo

Hahahahaaa!
Naona wanavyokudea!
Na naona unavyotoa za uso! Forget about obsesd! Huyo hata simtambui!
Refers wewe hiyo rangi rangi na manywele just vinaconclude! I have a long history with u! Naongopa?
...
Tena hapa ng'adu ng'adu, faida yake ni kujulikana dhahiri, wanaochit wote hupenda kujificha pm!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha the vulture is a patient bird (james hadley chase)

well well naona nikupm lol!

hope u wont be shocked....... na ukaanza kunin'gang'ania ukasahau wake zako woote, siko tayari kumwagiwa tindikali.

assure me that one pse.
 
Hahahahaaa!
Naona wanavyokudea!
Na naona unavyotoa za uso! Forget about obsesd! Huyo hata simtambui!
Refers wewe hiyo rangi rangi na manywele just vinaconclude! I have a long history with u! Naongopa?
...
Tena hapa ng'adu ng'adu, faida yake ni kujulikana dhahiri, wanaochit wote hupenda kujificha pm!
What long story tena???:A S 39::A S 39::A S 39:
 
What long story tena???:A S 39::A S 39::A S 39:

Hihihihiii!
Uthjifanye umethahau! Si wewe uliethababisha niekewe bifu na .....!
Mi nilijua mmeo!
...
hapana chokonoa Mashaxizo!
Kuna issue sio za kuongea! Pendi, pendi, pendi!
...
Labda nikuulize hivi nilishakuambia love you mara ngapi?
 
Yegoo: sawa na Haloo!! ni neno la kijita!! hiyo avatar!!!sku nyingine nitasema
 
Last edited by a moderator:
user name yangu ina maana mwenye mji wa nyumbani(kinyakyusa) avatar inawakilisha mapambano ya ukombozi fikra...
 
What long story tena???:A S 39::A S 39::A S 39:

Si wewe uliesababisha niekewe bifu na .....!!!
...
Hapana chokonoa Mashaxizo! Kunavitu sio vya kuongea kabisaa hata iwe PM!
Spendi! Pendi! Pendi!
...
Labda nikuulize, nilishakuambia love u mara ngapi vile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom