Nipo Mkuu!
Hayo utaogea lol.Maji ya tui sio ishu!!! Maji ya ukili ndio mpango mzima!
picha pulllliiizzzz
picha pulllliiizzzz
hapa ni full burudani! Hakuna wakupiga picha!
Ili iweje? Kama umeshindwa kwenda kimpango wako tena ukome kusumbua watu na picha.picha pulllliiizzzz
Hongera mkuu kwa kuitendea haki dhamira yako.
Ili iweje? Kama umeshindwa kwenda kimpango wako tena ukome kusumbua watu na picha.
stakiiiiii
.
Weka kwanza yako tukuone
asante mkuu!
Kule ulikoniacha bibi mwenzangu lolkhaaa!!! we bibi umeibukia wapi.???