WanaJF ndani ya Tanga

WanaJF ndani ya Tanga

Mi nilikuwa napita tu, si uliona nilipita harakaharaka? mi sihitaji hizo nguvu bana, nilizo nazo tu zimejaa had znamwagika.

By ze way, embu nipe matokeo KOKUTONA, baada ya kwenda kule nanihii kulala mlijisikiaje.

Ha ha haaa PakaJimmy kama zamwaika mbona hutualiki tukajizolea? Unaacha tunaangaika kwenye mizimu?

Yaani full full, hivi yatakiwa turudi tukatoe ahadi ya nadhiri zetu maana kitu mwake mwake lol
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa... Hivi Madame B aliweka nadhiri ya kuacha vidole vya miguu kule?.......

Yaani wifi yangu acha Kbs, niliupiga ukunga utadhani natolewa kizinda,ila waooooo............ PakaJimmy alifanya mabo ya kunibembeleza.
si uliona eeeeeeeee...............
 
Last edited by a moderator:
shindwa pepo!!!


Kweli kabisa mshikaji wangu,

Huyu PakaJimmy hakutakii mema kabisa....

Sijui anakuwaje sasa au ndo mambo ya kuzeeka vizuri...:smile:😱hwell:

Nadhani amesahau kuwa siku zote, wanaume huteteana katika mambo ya kiutu uzima wakati wanawake hugombelezeana...

Kama akitimiza lengo lake hilo basi atakuwa amepotoka kabisa!!

Cc: Asprin na Kaizer..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Filipo mwambrie huyo anayependa kusikiliza taarifa za habari tu kumbe naye angeweza kutengeneza habari kuwa mambo yalikuwa mswano tena pouwer kinoumer, ile kinoumer.Vipi uchovu? salam2 marejesho.

Hapo mwishoni unataka kujua nini Arushaone??

Wewe mwenyewe unajua kuwa hawa washikaji walikuwa na honey moon yao huku maskani....

Sasa unategemea baada ya kurudi home watafanya nini kama siyo kurest in cold weather??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom