De Opera
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 828
- 1,779
Ni vema kuelimika lakini Akili ni muhimu pia! Kuna wasomi wanafanya mambo ya ajabu kweli hata ukiwasikiliza ni pointless!Tatizo lako unashindwa kuelewa umuhimu wa kuelimika au kuwa na jamii iliyosoma. Hakuna kitu kigumu na cha hatari kama kuwa na jamii isiyo na elimu. Hata kuishi mitaani vizuri ni rahisi ukiwa umeelimika kuliko kuwa mbumbumbu..