Divisheni ziro ni nickname tu na tafsiri yake halisia ni "Failed" (FLD)... yaani umepoteza muda tu na wewe hauna tofauti na Darasa la saba ila ni darasa la saba uliyechangamka.
Wabongo tukatunga na kuongezea kwa kuipa jina la "Division zero!" Sijui kwa maana gani... na hii divisheni ziro iko TANZANIA tu! Acheni story za vijiweni ni nchi gani ingine ina divisheni ziro?!
Na ni Rais gani huyo alipata divisheni ziro nchini?!... Unajua hayo ni matusi, kebehi na dharau kubwa sana kwa kiongozi mkubwa wa nchi na wanaoongozwa wote na wewe ukiwemo... unajua hilo?!
Mnapandikizwa chuki tu mnaingia LINE kiurahisi... urais ni taasis kubwa ndugu yangu acha kabisa!