Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Hizo kazi za kufanya nao hao ambao hawajasoma labda Ni bodaboda(sijadharau maana najua Kuna Bodaboda wenye mpk masters), ukiwa na biashara kumfanya messenger etc.In short kazi za dizaini hio
Ila awe bodaboda mwenye nidhamu. By-the way BodaBoda inalipa ukijitambua na kutuliza akili... hasa chombo kikiwa ni chako mwenyewe
 
Mkuu mbona unawananga sanaa waliopata 0 ...au hujafanya utafiti kwamba matajiri wengi karbu asilimia 75% Sio wasomi
Tuletee tajiri asiye msomi tukufungulie Bibliography yake. Wakinga tu na waha ndo matajiri wasio wasomi kwa sababu ya kutajirika kwa ndumba na madawa kama kina Sandaland wa Kariakoo. Matajiri wasio na akili wala nidhamu

Leta hao wasio na elimu
 
Umekaa kwa shemeji yako unaangalia tv huna habari Yani wewe kichwa ako haina kitu Bora ingekuwa na maji walahu una elimu gani kwanza
Tuletee tajiti asiye msomi tukufungulie Bibliography yake. Wakinga tu na waha ndo matajiti sio wasomi kwa sababu ya kutajirika kwa ndumba na madawa kama kina Sandaland wa Kariakoo. Matajiri wasio na akili wala nidhamu

Leta hao wasio na elimu
 
Na wasomi wenyewe uko sua na udsm wanafundishwa na kina lipumba
Unamjua LIPUMBA vizuri apart from Politics za CUF na CCM...?!

Yaan bibliography ya Mzee Lipumba unaijua vyema Kaka?! Je! Hata umewahi kukutana nae mkafanya mazungumzo angalau kwa dakika 30-45?!.. Muombe sana Mungu uipate bahati hiyo...

Achana na yule mzee kabisa! Hata viongozi wakubwa kina SALIM AHMED SALIM na kina J.K wanamuheshimu sana yule mzee na wanaujua mchango wake na mawazo yake.
 
Yaan bibliofraphy ya Mzee Lipumba unaijua vyema Kaka?! Je! Hata umewahi kukutana nae mkafanya mazungumzo angalau kwa dakika 30-45?!.. Muombe sana Mungu uipate bahati hiyo...
Rasi Simba hajakufunza vizuri dogo, bibliofraphy ndo Nini
We umewahi kaa na lipumba? Unajua kabisa hawezi we labda utumwe dukani ukalete maji huna Cha kuongea wewe Ni mweupe Hadi kichwani nimecheka Sana asee 😂😂
 
Mkuu mbona unawananga sanaa waliopata 0 ...au hujafanya utafiti kwamba matajiri wengi karbu asilimia 75% Sio wasomi
Kufeli siyo kipimo cha kuwa tajiri na kufaulu mitihani ya darasani pia siyo kipimo cha utajiri. Kwa pamoja tukiri tu mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Kuanzia lugha ya kufundishia na kujifunzia, mazingira duni ya kusomea na kujifunzia n.k

Kama haya mazingira ya kufundishia na kujifunzia yangekuwa katika mizania ya usawa hizi zero zingepungua.
Pia tujiulize, hata zingepungua then what kama wasomi wa Vyuo vikuu wapo mitaani na hawawezi kupambana na kutambua fursa zilizopo. Tunarudi pale pale Elimu ina changamoto kubwa kuliko tunavyodhani. Haiwaandai vijana wetu ku utilize fursa na rasilimali tulizojaliwa na Mungu ndani ya nchi hii.
 
Yeah mkuu Kuna watu wanao uwezo wanao mazingira sometime yanawafifisha

Japo Kuna wengine wanaweza tusua hata kama mazingira sio rafiki.
Hawa ni Unstoppable! Choosen from god! A perfectly meaning of "Kama ipo ipo tu!" "Mungu akipanga katu mwana-Adam hawezi pangua"

Wengine wana uwezo ila distraction kidogo tu inampoteza mchezoni maskeen... vichwa vinatofautiana. Ila ushauri wangu na maoni yangu ni kwamba hawa wanaopata points za "26" waangalie kwa jicho la tatu 🥺
 
Wengi tumepata zero na div 4 kwasababu nyingi mfano
1.umaskini plus na stress za familia

2. Kutoka form one hadi form four shule nzima ina walimu wawili,mwalimu mkuu na msaidizi wake plus miundombinu ya kujifunzia mibovu sana.
3.shule zipo mbali na makazi ya wanafunzi.
4.sera na usimamizi mbovu za elimu kiujumla wale wa 2012 wanajua.
Hata shule za Dar?
 
Back
Top Bottom