Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Kumbe wenye zero ndio wanaajirigi wenye one, basi sawa.

Tunadanganya watu Sana, kwamba aliyepata zero atamuajiri mwenye one. Mazingira ya Sasa ya biashara Ni magumu, lakini tunadanganyana Sana. Tunajaribu kuficha aibu ya kufeli kwa kutafuta maneno ya kujifariji. Kwa mfumo tulionao, mtoto anayepiga one amejitahidi na ana uwezo mkubwa kuliko aliyepata zero. Sasa mambo ya mtaani wote wananishi mtaani, yeyote anaweza kufanya vizuri.
 
Baadhi wakipata mitaji wanakuwa wafanyabiashara wakubwa wakati wengine wanaangaika kwenda form six na chuo kikuu kisha wanakuja kutuajiri wakati tutaangaika kuzunguka na bahasha mitaani kutafuta ajira. Maana wanakuwa ni watu wa uthubutu kwa kujua kwamba awana plan B kwa hiyo ni rahisi kwao kufanikiwa.
 
Kwa mtazamo wàko , vijana wote Sasa wapate four na ziro Ili wawe wafanyq iashara wakubwa
sio wapate zero wote lazima dunia iwe na makundi mawili ya wajiri na wajiriwa, hawa wenye one wengi wao watajiriwa na hao wenye zero wengi tu watajiali na kuajili wengine
 
Hao division one wanaishi wapi. Tuwape watu sifa wanapo stahili na sio kukosoa tu. Mtu kapata one ya Saba lakini unataka aonekane hana uwezo wa kuishi mtaani, kisa kapata one.
Wajinga ni wengi... si unajua Afrika ndo nyumba ya Chuki, fitna, ushirikina na Majungu. Hapo majority ya waliopo humu walifeli ndo mana wanawaponda hao waliofanya vizuri.

Majitu majinga yana shida sana!
 
Kupata division one ni kosa?. Yani tunafanya mtoto aliyepata division one hana maana, ila mwenye zero ndio ana akili. Mtoto aliyepata one amefanya kwa nafasi yake na anasatahili pongezi , mambo ya kuajiriwa na kuajiri yatategemea baadae.
Yaan huku tunapoelekea huku mh! Ni hatari! Leo hii mpaka mtoto mdogo anaonewa wivu kwa kufanya juhudi dhidi ya elimu yake. Waafrika ni watu wa hovyo sana!
 
Mburahati imekubwa na nini Tena!?..na matokeo ya form four wamezingua Tena dah..nakumba enzi hzo ma twiti Kama yote pale kwa Dani ghorofani...mwamba alikuwa anashuka hesabu za quadratic kutoka kichwani hakuwa na kitabu siku zote...
Fontana. Mimi dani kanifundisha 1997-8 pale kanisan la walokole enzi za LY [emoji23][emoji23]
 
Huku mtaani mtu ambaye Anaishi vizuri hapa nazumgumzia Maisha ya Focus na sio kuishi kwa kutegemea uchawi nk ni wale wenye Elimu hakuna darasa la saba aliyetoboa au division zero no na nasema no

Hata diamond kafika hapo kwa msaada wa wasomi sasa wewe mtoto wa masikini huna connection huna mtaji huna Elimu hujitambui. Then unaendekeza umalaya na Ulevi huku unapata zero then unasema utatoboa mtaani hiyo sio Kweli Ni kujipa moyo tu .
 
Wabaki na 0 zao Hawa ndo wake Wema Sasa wanakua na heshima kama Nini akikupazia sauti namwambia una ziro wewe
 
Huku mtaani mtu ambaye Anaishi vizuri hapa nazumgumzia Maisha ya Focus na sio kuishi kwa kutegemea uchawi nk ni wale wenye Elimu hakuna darasa la saba aliyetoboa au division zero no na nasema no

Hata diamond kafika hapo kwa msaada wa wasomi sasa wewe mtoto wa masikini huna connection huna mtaji huna Elimu hujitambui. Then unaendekeza umalaya na Ulevi huku unapata zero then unasema utatoboa mtaani hiyo sio Kweli Ni kujipa moyo tu .
Bora umeongea reality
 
Mburahati imekubwa na nini Tena!?..na matokeo ya form four wamezingua Tena dah..nakumba enzi hzo ma twiti Kama yote pale kwa Dani ghorofani...mwamba alikuwa anashuka hesabu za quadratic kutoka kichwani hakuwa na kitabu siku zote...
Hiki ni kizazi Cha . com
 
Back
Top Bottom