Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,666
- 7,111
Divisheni ziro ni nickname tu na tafsiri yake halisia ni "Failed" (FLD)... yaani umepoteza muda tu na wewe hauna tofauti na Darasa la saba ila ni darasa la saba uliyechangamka.Hata Rais wa Nchi moja Africa mashariki alipata zero,wenye koneksheni watajiendeleza kwa kozi za kuungaunga alafu waanze kuupiga mwingi kama mama Samia.
Wabongo tukatunga na kuongezea kwa kuipa jina la "Division zero!" Sijui kwa maana gani... na hii divisheni ziro iko TANZANIA tu! Acheni story za vijiweni ni nchi gani ingine ina divisheni ziro?!
Na ni Rais gani huyo alipata divisheni ziro nchini?!... Unajua hayo ni matusi, kebehi na dharau kubwa sana kwa kiongozi mkubwa wa nchi na wanaoongozwa wote na wewe ukiwemo... unajua hilo?!
Mnapandikizwa chuki tu mnaingia LINE kiurahisi... urais ni taasis kubwa ndugu yangu acha kabisa!