halafu wengi wana stress za mahusiano. napita tu.
hilo nalo neeeeno!
Hakuna njia hapa
KIJANA HUJAMUONA masai dada
Thank U, Subiri
hajamuona Masai Dada atuulize sisi tuliomuona
lakini vaisley kama watu wameamua kuishi maisha yao ya ufake, wewe inakukwaza vipi? watu usiowafahamu wanakuchoshaje? au kuna aliyekutapeli my dear? mie niliponea chupu chupu kutapeliwa na member wa humu.