Wana MMU Bwana

Wana MMU Bwana

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
OOOOh ...najua waTz wengi Hatupendi Ukweli..

This is too much inachosha...
hivi humu ndani jaman kila mtu anajikweza, kila mtu anajifanya handsome/beutiful ifunanya kuliko mwenzie,Shape na mazegembe humu yamejaa.....Wakati models tumejaa kibao na wengine wa mviringo wamo humu....
Ikija habari za kudrive kila mtu anadrive humu ndani, wakati wengine hata baskeli hatuna wala mkokoteni...Lakini utasikia jana nilikatiza na bebiwoka yangu nikamwona mtoto kumbe alikuwa kwa ngondi...Ya nini hayo yote jamani?
Mapishi...kila mtu mpishiii,
Yaani kila mtu juu jamani, kisa avatar inavutia unataka kudanganya watu hapa,
Hebu tuwe real bana tuache kuigiza jaman....
Mabadiliko yaanze na sisi wengine waige namna hii tupunguze idadi ya utapeli jamaniiiiii
Humu ndani wengi masingle,wajane na wagane baada kuwa watu halisi tukae na kufarijiana ndo kwanza tunazidishiana ugumu.....
:nimekataa:nimekataa

Samahani kwa niliemkwaza ukitaka matusi nitupie kwenye pm nikuelewe vizuri...
WEWE mwenye kukashifu najua utakuwa umenielewa zaidi..

siku njema
 
Bora mimi niko realy,sina hata baiskeli.
Nakaa ma wazazi wangu

Natumia katechno t526,Sina haja ya kujikweza kwani kuna watu humu wanapajua hadi home.
 
Bora mimi niko realy,sina hata baiskeli.
Nakaa ma wazazi wangu

Natumia katechno t526,Sina haja ya kujikweza kwani kuna watu humu wanapajua hadi home.
Nashukuru..endelea kuwa real nadhan ni nzuri zaid kuliko ya hao wanaofoj maisha

Swala la kusema hakuna mtu anaekufaham au kukujua om isiwe sababu ya kudanganya watu hapa.....
 
anza kwanza wewe kwa kuweka jina na picha ya ukweli.
 
Ongea wewe, me kuna siku nlisema nakaa kwa bi Mkubwa kina jitu acha linichambe, eti ooh na umri huo bado unakaa kwa bi mkubwa....! Inamuhusu? Sijui alitaka niseme namiliki Villa?
Wengine hatujui kudanganya. Tena napanda daladala kwetu hatuna hata baskeli, halafu najua kupika chai tu na kuchemsha maji ya kuoga.
Huo ndo wasifu wangu.
 
Watu waliozoea kudanganya danganya wakikutana na mtu mkweli wanadhani ni kama yeye....af pia kama mtu hataki kukuamini achana nae ilimradi tu unajua nini ulichosema/kiongea
 
Chezea Jf weyee!
Basi hapa wote watajifanya wema! Wako real na hawapendi makuu! Teh teh teh!

Raha jipe mwenyewe!
Hata mkweche sina, lakini sitosita kujipraud when there needs to do so!
 
bora mimi nliamua kuweka na picha japo wakajua aka katoto lakn nashukuru Mungu nafundisha sec mkono unaenda kinywani, mimi sina haja ya kudanganya bwana.
 
Ongea wewe, me kuna siku nlisema nakaa kwa bi Mkubwa kina jitu acha linichambe, eti ooh na umri huo bado unakaa kwa bi mkubwa....! Inamuhusu? Sijui alitaka niseme namiliki Villa?
Wengine hatujui kudanganya. Tena napanda daladala kwetu hatuna hata baskeli, halafu najua kupika chai tu na kuchemsha maji ya kuoga.
Huo ndo wasifu wangu.

kama unakazi na bado mtoto wa mama ni uboya. Truth be told.
 
bora mimi nliamua kuweka na picha japo wakajua aka katoto lakn nashukuru Mungu nafundisha sec mkono unaenda kinywani, mimi sina haja ya kudanganya bwana.
Nimekupenda bureee
 
kama unakazi na bado mtoto wa mama ni uboya. Truth be told.
Hata kama! huwezi jua sababu ya mtu kukaa kwao, af kumbuka nyumban ni nyumbani.
Jua sababu then uanze kutoa maneno sio kukurupuka tu.
 
huwezi jua mengine mkuu kama unataka kunifaham zaid unaweza ukanitafuta

sikutafuti mkuu,, i got my own money,drive,nice wife n babyboy.,nimenunua nyumba i had no time kujenga. I have it all by myself.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom