Wana MMU Bwana

Wana MMU Bwana

m sijawahi kujikweza kwani nilikuwa hoi kabisa mpaka pale RAIS WETU JAKAYA aliponiteua BUNGE LA KATIBA tena sikuwa na kazi ya zaidi ya kuwazomea UKAWA.teeh sasa hivi hata mada ngumu sitaki mi n MMU TU
 
Kuna haja humu watu kutumia picha zao za kweli badala ya kuweka avatar nzuri nzuri.
 
Nani huyo alitaka kukutapeli Mwajuma? Ndo yule aliyesababisha ukaaga (halafu nilijua utarudi tu teh teh teh)?

Halafu alitaka kukutapeli pesa au....?

toto tundu sana wewe!!! pesa ndio.... niliaga kwa mengi. majukumu nayo yalinizidia,
 
af nakumbuka mwaka jana au juz ulilalamika sn na kutapeliwa na mwanajf mpk ukaamua kuja kivingine..

na kale kababu mliishiaje hv....

hahhhaaahha!! nkupe namba yake ukasalimie?
 
Vaislay si unajua hata chakula kinaongezwa chumvi kuongeza ladha?
Wengine kufake life yake inampa kujiamini zaidi, hata kwa watu asiowajua.
Mtu unafake nje but moyoni ujue anaumia hana hivyo vitu, anakufa na maumivu yake.
 
Last edited by a moderator:

hahhaha ure toking my dear.
umepata beb tyr? mbona umeanza kupotea?
 
Last edited by a moderator:
Nimekwazika sana yani hawa watu wa dry cleaner sijui wakoje
gauni langu la laki 3 ndo limefanywa hivi?uuuh they don't know me
ngoja niwashe gari angu niwafate
Vaislay nakusalimu katika jina la bwana....
 
Last edited by a moderator:
lakini vaisley kama watu wameamua kuishi maisha yao ya ufake, wewe inakukwaza vipi? watu usiowafahamu wanakuchoshaje? au kuna aliyekutapeli my dear? mie niliponea chupu chupu kutapeliwa na member wa humu.

Pole sana ndugu humu ndan kila mtu anajielewa mwenyewe 2navaa uhusika wa ajabu ajabu sana mashauzi ndio balaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna haja humu watu kutumia picha zao za kweli badala ya kuweka avatar nzuri nzuri.

Yan hilo ni kosa kubwa tena la jinai haiwezekan yan ntaandamana na vile nang'ara hapo kwa avatar yangu useme niweke picha halisi jaman mbona ntaumbuka
 
Nimekwazika sana yani hawa watu wa dry cleaner sijui wakoje
gauni langu la laki 3 ndo limefanywa hivi?uuuh they don't know me
ngoja niwashe gari angu niwafate
Vaislay nakusalimu katika jina la bwana....

naona umetoka kazin rombo view pole kwa kupauka mikono hz sabun zetu za puff shida sn...

Amen Eve natumai u mzm...
 
Last edited by a moderator:
Majukumu tu yakizidi but nipo, bado nipo #team single# nimenogewa. Kwani umejitoa luv? Naona raha sioni mapungufu labda baadae huko.....

pole kipenziii.

sijatoka kwenye chama...me luv our team sn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom