Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,920
- 55,912
mi nakopesha any amount of cash no questions
sawa mkuu leo sina bundle ya kuingia jf jioni niwezeshe basi.
mi nakopesha any amount of cash no questions
Bora mie jina langu ndo nilivo.I swear sitaniiii
mode wameshaunganisha ID ni MCHUNGUZI HURU
imeniuma sana lakini....nakupenda hivyo hivyo labda utanunua mwakani
Kwani we ni huyo hapo kwene picha.
Kwa kwa kwa! Acha kudanganya
Mimi penda sana we mdada
ahsante best ila ndio tunajifunza hivo. ila kuna watu wazuri pia sio wote ni wabaya.
Hahaha ndo kama yale ya Bujibuji?
baby ake uwe makin na wewe wasije kuunganisha
Mimi sina jinsia mbili labda waunganishe yako.na yangu babybake...watakuwa wameturahisishiaje?