Wana MMU Bwana

Wana MMU Bwana

Humu ndani hayupo mwenyee shapee kama omukagamee weeeee ole wake mtu anibishieew
 
Last edited by a moderator:
data Unajifanya Upo Juu Kumbe Upo Chini Size Ya Sisimizi, Mwenyenacho Huwa Hapigi Sana Domo Anaona Vya Kawaida Tu, Sasa Nitoboe Siri Ya Wewe Kufeli Form Two? Na Niseme Upo Level Gani Saiv? Niruhusu Nikulete Hapa Kama Mpigamsuli

go ahead,!
 
Last edited by a moderator:
sikutafuti mkuu,, i got my own money,drive,nice wife n babyboy.,nimenunua nyumba i had no time kujenga. I have it all by myself.....

wacha wee !! Ninaomba kuwa muchepuko wako loh!!!!
 
Ukweli unauma sana tabia za wadada ni tatizo tena jangu kuu walikutana na mim wananielewa fresh mambo mengne humu sio ya kuyachukulia serious kiivyo.

Wanawake tunatabia ya mashauzi kujishaua kwingi cjui kutatuisha lini
 
OOOOh ...najua waTz wengi Hatupendi Ukweli..

This is too much inachosha...
hivi humu ndani jaman kila mtu anajikweza, kila mtu anajifanya handsome/beutiful ifunanya kuliko mwenzie,Shape na mazegembe humu yamejaa.....Wakati models tumejaa kibao na wengine wa mviringo wamo humu....
Ikija habari za kudrive kila mtu anadrive humu ndani, wakati wengine hata baskeli hatuna wala mkokoteni...Lakini utasikia jana nilikatiza na bebiwoka yangu nikamwona mtoto kumbe alikuwa kwa ngondi...Ya nini hayo yote jamani?
Mapishi...kila mtu mpishiii,
Yaani kila mtu juu jamani, kisa avatar inavutia unataka kudanganya watu hapa,
Hebu tuwe real bana tuache kuigiza jaman....
Mabadiliko yaanze na sisi wengine waige namna hii tupunguze idadi ya utapeli jamaniiiiii
Humu ndani wengi masingle,wajane na wagane baada kuwa watu halisi tukae na kufarijiana ndo kwanza tunazidishiana ugumu.....
:nimekataa:nimekataa


Samahani kwa niliemkwaza ukitaka matusi nitupie kwenye pm nikuelewe vizuri...
WEWE mwenye kukashifu najua utakuwa umenielewa zaidi..

siku njema

marhabaaaa, hili ni jiwe gizani ukisikia yalaaa limempata.......neno hasaaa,
 
Bora miye msema ukweli mtoto wa kinaigeriia nimekuja na mafuriko nimepewa uraia kabisaaa wa tz, hilo jina la utoto na picha hiyo yangu kabisaaaa! Sitaki maswali !!!
 
Mimi tu humu ndani napenda ukweli. Na sio fake, ndio maana mtu akiniletea chai yenye chumvi, nampelekea wali wenye ndimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom