Wana JF tumsaidie kijana huyu!

Status
Not open for further replies.
Afrodenzi umeifanyia hii kazi nzuri sana. Safi sana...may u be blessed...

sante sana Chapakazi..
lakini kuna watu wengine wengi sana
tukianza na wanaochangia halafu MODs
wanao hangaika juu chini kukamilisha hili zoezi
na wana JF wengine walijitolea kusaidia na kwenda
kumuona Abbas na kutuletea hizo taarifaa...

kwa kweli kwa Pamoja tunaweza...
Tusonge mbele jamani karibu tunafika
asante sana..
 
Thanx AD for your effort on the matter............keep it up.

I hope (we) the rest of the members are ready to do our part.Be blessed my dear.
 
@afrodenzi, nimeahidi mchango wangu kwa muheshiwa hapo juu mwenye namba 0713444649. ila nipo moshi kwasasa kama kuna maelekezo unaweza nipatia jinsi ya kwenda kcmc kumuangalia mgonjwa. vile vile nikupongeze kwa kazi hii nzuri uliyoifanya.
 
AD, tunachangia sana harusi ambazo zingine tokea awali zinaonekana kuwa haziwezi maliza hata wiki tatu zikiwa na uhai. Ila umenifanya nijiulize maswali mengi, jee kijana masikini kama huyu kweli tunapaswa kumuacha apate mateso kama hayo huku sie binadamu wengine tunaona ni kawaida tuu? hapana, kama binadamu lazima tuguswe kidogo na kufanya linalo stahili.
Hebu tufikirie jee uko na gari lako na unapata ajali na kupoteza damu nyingi kisha watu wakiambiwa watoe damu ya dharula kuokoa maisha yako kila mtu anaonyesha halimhusu hilo. HOW WILL YOU FEEL?

AD,kama nitapata nafasi nyingine nitaongeza kadiri nitakavyoweza,ila nakusifu kwa ujasiri wako
 
mimi siwezi sema tena kitu chochote ila mchango unanihusu sana tu,
kusema kweli najisikia kama huyo ni kaka yangu amelazwa hospitali
anyway niko katika mchakato wa kukamilisha ahadi yangu
AD na MAX MELO MUNGU awabariki
 
@afrodenzi, nimeahidi mchango wangu kwa muheshiwa hapo juu mwenye namba 0713444649. ila nipo moshi kwasasa kama kuna maelekezo unaweza nipatia jinsi ya kwenda kcmc kumuangalia mgonjwa. vile vile nikupongeze kwa kazi hii nzuri uliyoifanya.

Nime kutumia PM mkuu..
Nani wa kuwa siliana nae kuhusu KCMC...
sante sana ubarikiwe zaidi
 
mimi siwezi sema tena kitu chochote ila mchango unanihusu sana tu,
kusema kweli najisikia kama huyo ni kaka yangu amelazwa hospitali
anyway niko katika mchakato wa kukamilisha ahadi yangu
AD na MAX MELO MUNGU awabariki

Naomba sana tena sana
uzidi kukumbuka
haya yote yasinge tokea
kama si wewe kutuletea taarifa..
Daima tutakushukuru wewe kwa hili..

sante sana Vikwazo..
AD
 
Naomba sana tena sana
uzidi kukumbuka
haya yote yasinge tokea
kama si wewe kutuletea taarifa..
Daima tutakushukuru wewe kwa hili..

sante sana Vikwazo..
AD

Thanks AD, naona nimezingirwa na hizi kazi huku niliko kwa muda ila nimeongea na shemeji yako afanye MPESA haraka!, Mungu atamsaidia huyu kijana! Ahh!
 
Asante, sana mimi najitolea kutoa damu lita moja kundi langu ni ORH+ kama sijakosea. Namba yangu ni 0755 557094 any time, kama jf doctor yupo anipe maelekezo even kwa sms.
 
Thanks AD, naona nimezingirwa na hizi kazi huku niliko kwa muda ila nimeongea na shemeji yako afanye MPESA haraka!, Mungu atamsaidia huyu kijana! Ahh!

Sante sana LTC....
Mbarikiwe zaidi na familia
kwa kurishikiana kwenye hili ..
sante sana tena sana ..
AD
 
Asante, sana mimi najitolea kutoa damu lita moja kundi langu ni ORH+ kama sijakosea. Namba yangu ni 0755 557094 any time, kama jf doctor yupo anipe maelekezo even kwa sms.

Waoooo..
Dahhhhh
sijui hata nikwambie nini dear ..
Asante sana kwa kuwa na moyo wa kujitolea
kiasi hicho.... kwa sasa na kwa taarifa nilizo letewa
ni kwamba jamaa hana fedha hata za chakula na wazazi na
wazazi wake hawana kipato cho chote..

Kwa sasa tunajaribu kukusanya fedha ajili ya
ya chakula na (matibabu kama zikitosha)

ila nikipata taarifa zozote kwamba wana hitaji
Damu na vitu kama hivyo I will inform you
and every one else....

Sante sana dear
AD...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom