Wana JF tumsaidie kijana huyu!

Status
Not open for further replies.
Tuanze na yule mwenzetu homeless na wale wanafunzi wa urusi kisha tuje kwa watoto wa mitaani wanaozagaa jijini dar wakiomba omba tuje tena kwa jirani yako uliemtanga kwa kuweka milango ya chuma na waya za umeme kwa kuwa maskini,mpe chakula angalia watoto wake hawaendi shule wanpata mlo m1 kwa siku ukimaliza hayo mchango wa Abas utakuwa umefika
 
Asante kwa comments yako....
 
nilikuwa sijaiona hii......kabla hujafa hujaumbika.......tupo pamoja uwekwe utaratibu tuweze kumsaidia

Siitaji asante yako nahitaji nione ushachangia pesa ngapi juhudi zako zikoje kutatua matatizo haya otherwise utakuwa unatafuta umaarufu

Kuna kaukweli hapa huyu AD hatachangia kitu zaidi ya kujipaisha tu! Muulize amechangia wangapi mwaka huu? atakupa bla bla bla
 
Tuanze na yule mwenzetu homeless na wale wanafunzi wa urusi kisha tuje kwa watoto wa mitaani wanaozagaa jijini dar wakiomba omba tuje tena kwa jirani yako uliemtanga kwa kuweka milango ya chuma na waya za umeme kwa kuwa maskini,mpe chakula angalia watoto wake hawaendi shule wanpata mlo m1 kwa siku ukimaliza hayo mchango wa Abas utakuwa umefika

Haya yamekujaje hapa tena.......nani amekwambia hasaidi hao uliowataje..........ulikuwa unataka akueleze anasomesha watoto wangapi au amesaidia majirani wangapi.... kinachojaladiliwa hapa ni mgonjwa anaomba msaada unataka kumsaidia saidia hayo unayouliza hapa hayana tija
 
Siitaji asante yako nahitaji nione ushachangia pesa ngapi juhudi zako zikoje kutatua matatizo haya otherwise utakuwa unatafuta umaarufu

Tatizo siongeagi bila vitendo.
huitaji kuona yangu ili we uchangie
kama unapenda changia si lazima .....

Nashukuru kwa comments yako tena ..
 
Mh jamani pole yake huyu kijana nilikuwa sijaisoma hiyo thread umefanya vizuri kuiweka tena hapa. Mchango unakusanywa wapi?
 
Asante sana mkuu,

Ntawajulisha nikimpata mmoja wa ma MODs...
 
Wazo zuri sana, lakini naona kupata wachangiaji wengi naomba title ibadilike kidogo ukiona invisible na maxence Melo wasomaji wengi wanadhania mambo ya Ban na kamwe sio mchango. Sijui lakini hebu tujaribu
 
Wazo zuri sana..Watalifanyia kazi muda si mrefu..Sante sana kwa mchango wako..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom