Wana JF tumsaidie kijana huyu!

Status
Not open for further replies.
Samahani wakuu

naomba nichukue muda wenu kidogo
kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya
na kuwapa pole ..

Dhumuni ya kuandika hii thread
ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa
na mwanajamvi mwenzetu VIKWAZO..
(saidia Mtanzia mwenzetu anateseka)

kweli wengi tumeisoma na imetugusa sana
na kuna wanajamvi ambao tuko tayari kujitolea
kidogo tulicho nacho. Ila tatizo hakuna wakukusaya.

Waheshimiwa tungeomba sana muda wenu kidogo
mtu tekelezee hili ( Kukusanya hizo fedha)

Hata kama hazitatosha kwa hospitali lakini zitamsaidia kwa sukari
..... Inapendeza sana kuona wana JF
tunajitolea kwa moyo na kumsaidia Mtanzania mwenzetu..

anaye taka kujionea na kusoma link hii hapa..

https://www.jamiiforums.com/habari-...mtanzania-mwenzetu-anateseka.html#post2209158

Asanteeni sana wakuu
Tunaomba sana tena sana
Na samahani kwa usumbufu...

AD.....

Muanzisha thread afanye utaratibu wa kuwasiliana na wahusika ikiwezekana watupatie namba ya account au Mpesa/Tigo Pesa/Zpesa nk ili tuchangie kidogo tulichonacho
 
mbona nimeona kwenye gazeti la mwananchi la leo,page 3,kuwa tycoon wa Morogoro,mzee Hood amejitolea kwa gharama zote..yule mzee nimeshabahatika kukutana nae,ni mkarimu mno..Mungu amzidishie

Asante sana mkuu kwa taarifa nzuri sana ila si mbaya nasi tukiongezea kidogo...
 
Muanzisha thread afanye utaratibu wa kuwasiliana na wahusika ikiwezekana watupatie namba ya account au Mpesa/Tigo Pesa/Zpesa nk ili tuchangie kidogo tulichonacho

Asante mkuu
wanalifanyia kazi hilo ..
watawajulisha muda si mrefu...
 
Samahani wakuu

naomba nichukue muda wenu kidogo
kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya
na kuwapa pole ..

Dhumuni ya kuandika hii thread
ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa
na mwanajamvi mwenzetu VIKWAZO..
(saidia Mtanzia mwenzetu anateseka)

kweli wengi tumeisoma na imetugusa sana
na kuna wanajamvi ambao tuko tayari kujitolea
kidogo tulicho nacho. Ila tatizo hakuna wakukusaya.

Waheshimiwa tungeomba sana muda wenu kidogo
mtu tekelezee hili ( Kukusanya hizo fedha)

Hata kama hazitatosha kwa hospitali lakini zitamsaidia kwa sukari
..... Inapendeza sana kuona wana JF
tunajitolea kwa moyo na kumsaidia Mtanzania mwenzetu..

anaye taka kujionea na kusoma link hii hapa..

https://www.jamiiforums.com/habari-...mtanzania-mwenzetu-anateseka.html#post2209158

Asanteeni sana wakuu
Tunaomba sana tena sana
Na samahani kwa usumbufu...

AD.....

Co-ordinate and count me in.
 
mbona nimeona kwenye gazeti la mwananchi la leo,page 3,kuwa tycoon wa Morogoro,mzee Hood amejitolea kwa gharama zote..yule mzee nimeshabahatika kukutana nae,ni mkarimu mno..Mungu amzidishie

Unaweza kuiweka hapa?
Kwenye article katika gazeti la mwananchi wameweka hii numba kama unataka kutoa msaada:
Anayetaka kumsaidia awasiliane kwa namba 0786272409 au 0655304336

Samahani wakuu

naomba nichukue muda wenu kidogo
kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya
na kuwapa pole ..

Dhumuni ya kuandika hii thread
ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa
na mwanajamvi mwenzetu VIKWAZO..
(saidia Mtanzia mwenzetu anateseka)

kweli wengi tumeisoma na imetugusa sana
na kuna wanajamvi ambao tuko tayari kujitolea
kidogo tulicho nacho. Ila tatizo hakuna wakukusaya.

Waheshimiwa tungeomba sana muda wenu kidogo
mtu tekelezee hili ( Kukusanya hizo fedha)

Hata kama hazitatosha kwa hospitali lakini zitamsaidia kwa sukari
..... Inapendeza sana kuona wana JF
tunajitolea kwa moyo na kumsaidia Mtanzania mwenzetu..

anaye taka kujionea na kusoma link hii hapa..

https://www.jamiiforums.com/habari-...mtanzania-mwenzetu-anateseka.html#post2209158

Asanteeni sana wakuu
Tunaomba sana tena sana
Na samahani kwa usumbufu...

AD.....
wazo zuri. hata hivyo nimeshangaa kukuona huku kwenye politiki nikataka kujua wasap. kumbe ni haya. sasa tunamsaidiaje?
 
wakuu tujitoe wasiliana na hiyo namba hapo chini
Anayetaka kumsaidia awasiliane kwa namba 0786272409 au 0655304336
 
Siitaji asante yako nahitaji nione ushachangia pesa ngapi juhudi zako zikoje kutatua matatizo haya otherwise utakuwa unatafuta umaarufu

Watu wengine kwa kuvunja moyo wenzao bwana! Yeye ameleta idea nzuri wewe unaanza kumvunja moyo, hebu tafuta jengine uandike kama huna cha kuandika hapa.
 
Wana JF tungeanza na kumuombea ndugu yetu huyu kisha maswala ya msaada wakimali yakafuatia na muendelezo wa maombi kwani mola ndie wa yote. MwenyeziMungu ampe afueni na afya njema.
 
Mungu ndo mweza wa yote kwa vile hakuna linaloweza kumshinda. Apelekwe kwa Yesu naye atamponya free of charge!
 
Huyu bwana yupo wapi sasa? Ndugu zake mpaka sasa wamefanya mipango yeyote? Kama kuna information yeyote ile kwa wale wanamsaidia tupate hizi inform ili wale wanaotaka kumsaidia tufanye hivyo.

I am sure huyu ndugu anahitaji huduma ya hosp na kikubwa apate msaada wa medical. Tunajua kuna wananchi duniani kote wanataka kuwa-involve na kutoa msaada. Lets work to help this gentleman.
 
Thanx AD, nitajitahd hadi kufika kesho niwe nishatupia mchango wangu ila hyo namba ya pili ni tgo au voda?
 
Huyu bwana yupo wapi sasa? Ndugu zake mpaka sasa wamefanya mipango yeyote? Kama kuna information yeyote ile kwa wale wanamsaidia tupate hizi inform ili wale wanaotaka kumsaidia tufanye hivyo. I am sure huyu ndugu anahitaji huduma ya hosp na kikubwa apate msaada wa medical. Tunajua kuna wananchi duniani kote wanataka kuwa-involve na kutoa msaada. Lets work to help this gentleman.
Tunajaribu kuwasiliana naye au nduguZake wa karibu .. tupe muda kidogotutaleta info zote... asante sana..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom