UPDATE:
- Kijana amefikishwa KCMC asubuhi hii kwa msaada mkubwa wa Mhe. Hood wa Mogorogoro ambaye amejitolea kugharimia mitibabu.
- Hadi hivi sasa haijajulikana bado gharama zote za matibabu zikuwa ni kiasi gani na kama matibabu hayo yanaweza kufanyika hapa nchini au la
- Familia ya Abbas ni maskini kwa maana ya neo "maskini" na hivyo pamoja gharama hizo bado kutakuwa na mzigo mkubwa kwa familia.
- Kampuni ya Mwananchi ambao wamekuwa wakicoordinate suala hili wanafanya mpango wa kuweza kufundua
Abdallah Abbas Medical Fund ya kusaidia gharama za matibabu na nyingine kwa familia. Endapo litafanikiwa hili mapema leo au siku chache zijazo itakuwa ni njia rahisi ya kuweza kuchangia kutoka sehemu yoyote duniani.
UPDATE:
Maxence atapokea michango yote ya wana Jamii Forums.
Na ata toa report baada ya kupokea michango ...
Kwa anaye taka kuwasiliana na Maxence directly ..
Number hii hapa +255713444649 ...( 0713444649 )
KUCHANGIA:
M-PESA: +255 755 642929
ZAP: +255 784 526 444
BANK: CRDB - Acc # 01J2092391800 - Maxence M. Melo
CREDIT Cards: https://www.jamiiforums.com/payments.php
PayPal, send to: mwanakijiji@klhnews.com
MPAKA SASA: (hata michango iliyokuja kuisaidia JF imeunganishwa)
Watakaochangia zaidi list itawekwa chini ...
====================
Michango kuanzia Julai 18, 2011
- Chakaza - TZS 50,000/=
- Kilewo - TZS 50,000/= (kapeleka mwenyewe)
- SOMEONE - $100.00
- Arabian Falcon - TZS 50,000
- Maxence Melo - TZS 100,000
- Fidel80 - TZS 30,000
- Hakutoa ID - TZS 25,000
- Hakutoa ID - TZS 30,000
- BAK - TZS 23,000 (hazijachukuliwa, will confirm)
- afrodenzi - USD 158.00
- Aine - TZS 20,000
- First Born - TZS 10,000
- VIKWAZO - USD 47.00 (30GBP)