Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Hii si bure kaka Pascal.

Kwanza umefahamika kama ni kada wa CCM. Kwa njia hiyo hata fursa nyingine zitakapojitokeza tayari unafahamika.

Lakini pia unaweza kuchukua hiyo kama ni homework ya kutafakari, waliofanikiwa walifanya nini kufanikiwa, walioshindwa wameshindwa kwa sababu gani, na hivyo kujipanga vema zaidi.

Next time labda jaribu pia kujijenga mikoani. Huko kuna fursa nzuri zaidi nafikiri kuliko Dar, hata kwa idadi ya wanaojitokeza tu.

Kila la heri kaka Pascal
 
Mayalla kama Mayalla pole Mkuu ndio Ukubwa huo.😂😂😂😂😂😂 karibu hujachelewa✌✌✌✌✌. Ila mbona umekata tamaa mapema zilizo baki zinaweza zikawa zako zote naona bado wanaendelea kutaja.

Na nimesikia moja umetajwa muda huu.
 
Pascal Mayalla,

Hope now Paskali wa DTV atarudi badala ya yule Paskali wa kusifia hata visivyosifika na kununua maugomvi ya serikali na kuwa msemaji wa serikali na wa Chama hahaha.
 
Back
Top Bottom