Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Hongera kwa kutimiza haki yako ya kuchaguliwa kama katiba inavyosema hayo mengine waachie CCM inawenyewe bwana

Ninachokuomba sasa katika mabandiko yako ujitambulishe kuwa ni mwanaccm sio tena unajitambulisha kuwa wewe ni mtu huru usie na chama chochote cha siasa.

Lakini faida uliyopata ni kujitambulisha kwa umma wa watanzania kuwa wewe ni CCM na kwamba zile declaration zako kuwa huna chama chochote cha siasa ulikuwa unawahadaa watanzania na umeongeza mapato ya CCM.
 
Na wewe hukupiga kura, yani namaanisha kama ulipiga kura hukujipigia?

Ila kama ulipiga kura labda na wewe mwenyewe hujitaki, ila hongera sana kwa kuongeza mapato ndani ya chama,naona hadi hapo umesaidia sana katika uchaguzi wa mwaka huu kwa wawakilishi ila chondechonde usiwe kigeugeu cha watoto wa miaka ya themanini.
 
Umetuaibisha hatuwezi acha kukubeza, umeshindwa jitifautisha kati ya great thinker na lower minded thinker, kuanzia Leo wewe sio great thinker tena, pia tumekujua wewe ni nzi wa kijani hatutaki tena hoja zako mfilisi, kafie mbali usukumani, mkabila mkubwa!
 
Umetuaibisha hatuwezi acha kukubeza,umeshindwa jitifautisha kati ya great thinker na lower minded thinker, kuanzia Leo wewe sio great thinker tena, pia tumekujua wewe ni nzi wa kijani hatutaki tena hoja zako mfilisi, kafie mbali usukumani, mkabila mkubwa!
Duh
 
Back
Top Bottom