Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
pole sana ndugu.dunia mapito sote tunaelekea..mwenyezi mungu amlaze mahali pema.amina.
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.
Pole sana ndugu yangu; kazi ya Mungu haina makosa. Sote njia yetu ni hiyo hiyo japo kwa ratiba tofauti.Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.