.... Mkjj, natumaini huko aliko yu salama; ila inatia wasiwasi, Mwl.Kichuguu kapotea kweli kweli...(isije ikawa nguchiro na michwa wamesiriba matundu yote na kufia humo humo ndani na kichuguu kuishia kudumaa kisirefuke tena.... 🙂 lol )
..... Msanii naye katowekea wapi tena?! Baada ya harusi yake alijitokeza mara kadhaa, ghafla huyoooo.... sijui majukumu katika ndoa.... i don't know, but i hope yu mzima kokote alipo..
Atakuwa kaenda nyumbani kusalimia jamaa, unajua ukiwa Bongo internet access ni ya kubahatisha.
Ni vigumu kuwa on-line marakwa mara ukiwa Bongo, mara nyingi tunaingia internet caffe kusoma u lakini muda wa kukaa na kuchangia hautoshi. Mkiona na wengine tumepotea basi mjue tuko nyumbani.