Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

This user has not registered and therefore does not have a profile to view.

Ha ha ha pastor kafutwa kabisa jamvini, hii kali, tena bila maelezo. Mimi nilivyoona yupo kimya nilihisi ni mmoja wa viongozi wa Deci, kumbe aha!
 
Bwa ha ha ha...

Wazee naona mnatimbanga kinyama...lol..Sijatangulia mbele za haki wala sijenda vua samaki Pemba mazee.

Ni mabadiliko tu ya ID mazee..tuendelee kukata ishu.

Ma'salama
 
Mbona yupo jamvini kama kawaida wajameni, labda macho yenu tu!
 
Ha ha ha pastor kafutwa kabisa jamvini, hii kali, tena bila maelezo. Mimi nilivyoona yupo kimya nilihisi ni mmoja wa viongozi wa Deci, kumbe aha!

Nziku acha bwana ....hiyo kwenye bold ni possible but ndo na JF apotee kiasi hicho.....i.e hata ukijaribu kuitafuta post yake mojawapo huioni....labda member mwingine awe alimquote....!
 
Bwa ha ha ha...

Wazee naona mnatimbanga kinyama...lol..Sijatangulia mbele za haki wala sijenda vua samaki Pemba mazee.

Ni mabadiliko tu ya ID mazee..tuendelee kukata ishu.

Ma'salama

Mashalaah, kumbe ulibadili ID tu...poa poa tuendelee na kukata issue!
 
Nziku acha bwana ....hiyo kwenye bold ni possible but ndo na JF apotee kiasi hicho.....i.e hata ukijaribu kuitafuta post yake mojawapo huioni....labda member mwingine awe alimquote....!

Mkuu viongozi wa Deci wapo lupango hivyo hawawezi ku-access mtandao...
 
Bwa ha ha ha...

Wazee naona mnatimbanga kinyama...lol..Sijatangulia mbele za haki wala sijenda vua samaki Pemba mazee.

Ni mabadiliko tu ya ID mazee..tuendelee kukata ishu.

Ma'salama

Ha!ha!ha!ha!ha!......ex MT,

Umeokoka nini?.....naona new ID na new tabia and everything!

Kama ndiwe ex MT.....Please MODs do the needful ----close this thread off!
 
Kichuguu
Kuhani
Dilunga
Pundit
Kiranga
Mkuu Mzee Mwanakijiji
Dua
Choveki
Mwiba
Defunkdelic or somethin....
Mkuu Mzee Kyoma
Kada Mpinzani
sam

.....na Wakuu wengine tafadhali msipotee.........Taifa linawahitaji......kwa saana tu
 
Kwa nini unawaulizia?

hata wewe nisingekuona Mkuu........ningekuulizia (the list is long)......honestly kuna aina fulani ya rhythm inakuwepo JF watu fulani wakiwepo.....not to offend anyone.......
 
Kichuguu
Kuhani
Dilunga
Pundit
Kiranga
Mkuu Mzee Mwanakijiji
Dua
Choveki
Defunkdelic or somethin....
Mkuu Mzee Kyoma

.....na Wakuu wengine tafadhali msipotee.........Taifa linawahitaji......kwa saana tu

teh teh teh..pengine wameshatangulia mbele za haki..lol
 
si utani mtu kama Mtindiowaubongo........only recent came to know ni Abdulhalim.....lol
 
Kuna jamaa hapa walikuwa wanashuka shule za sheria mpaka........unasema basi.....mfano Mkuu Mwendapole, Mushobozi............

Kuna jamaa alikuwa anjiita Eric Ongara, Tibwilitibwili, Babu Ubwete..........ilikuwa ni nondo tu hapa JF..........come on guys....come back
 
Susuviri sijui naye kapotelea wapi huyu....tangu uchaguzi uishe basi yeye na The Truth ndio jiii...............
 
I miss Mkuu Mwiba.
Is there anyone who knows his whereabouts?
 
Kichuguu
Kuhani
Dilunga
Pundit
Kiranga
Mkuu Mzee Mwanakijiji
Dua
Choveki
Mwiba
Defunkdelic or somethin....
Mkuu Mzee Kyoma
Kada Mpinzani
sam.....na Wakuu wengine tafadhali msipotee.........Taifa linawahitaji......kwa saana tu

Ahsante Mkulu Ogah kwa kutukumbuka. Mimi nipo ila kazi tu zimenizidia, si unajua mkono inabidi uende kinywani? Kuna kipindi nilishaanza kuwa addict wa JF ikabidi pia nipunguze kasi kidogo.

Tukumbukane wana JF & see u around!
 
Back
Top Bottom