Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Niwape hii huenda wakaja

Welcome back, welcome back
Welcome back..

Weclome back (Oh! Oh!)
Yeah man, how you doin' (Come on, come on, come on)
You good? I know you like that (Yeah you good, you doin' good)
I know you like that (Oh!)
How long you been back man?
Welcome, welcome, welcome, welcome back

See the names have all changed since I been around
But the game ain't the same since I left out
Ooh you know we need ya, ooh you know we need ya
Right here's where we need ya, right here's where we need ya
Welcome back..
Welcome back, welcome back, that thug's back (You know you like that)
Welcome back, welcome back, Harlem's back (You know you like that)
You know you like that
Welcome back, welcome back, that thug's back (You know you like that)
You know you like that
Welcome back, welcome back, Harlem's back (You know you like that)

namkumbuka sana ndugu yangu mswahili....sijui na hivi kuna reccession ulaya atakuwa wapi...maana mashamba ya matunda [cherries]...yanayobeba wenzangu na mie wengi kupiga box ..nadhani na yenyewe yatakuwa yamekumbwa na mtikisiko....
najuwa ahaibuka tu!!.........mswahili upo wapi mtaniiii..jamaa yako nungwi ..yupo...tatizo ni wewe!! huonekani..
 
FDR Jr, Kevo, Mgonjwa wa ukimwi na Yoyo pia hawaonekani kwa sana
 
Mimi namtafuta NaimaOmari..mweye info zake please anijulishe😕

Pia ndugu Mwiba....🙂
 
Wachangiaji makini wengi watakimbia JF iwapo MODS hawatakuwa makini kupunguza pumba zinazozidi kushika kasi hapa, jamaa wa zeutamu wamejikita hapa! by the way yule jamaa YIMN naye yuko wapi?
 
Fundi Mchundo....where are you?...come back man

Balatanda..........good to see you man
 
Wachangiaji makini wengi watakimbia JF iwapo MODS hawatakuwa makini kupunguza pumba zinazozidi kushika kasi hapa, jamaa wa zeutamu wamejikita hapa! by the way yule jamaa YIMN naye yuko wapi?

Yeah..huyu Ustadh yuko wapi? Tunaimiss michango yake na mavita yake na MODS.lol
 
Back
Top Bottom