- Mkuu Nyambala sina uhakika kama ninakuelewa unachosema, ninlichosema na ninachosema ni kwamba for now tumeshindwa hivi vita, haya maneno aliniambia kwa mara ya kwanza mbunge mmoja mpiganaji wakati wa ishu ya Masha na vitambulisho, na sasa ninaamini kwamba ndio ukweli wenyewe.
- Sasa katika vita kuna kushindwa na kushinda, na kutokata tamaa kwa sababu vita vingi duniani washindi walishindwa kwanza kabla ya kushinda nafikiri mifano iko mingi sana on that, lakini hata ukisoma history walipokuwa wanaelemewa walikuwa wanakubali na kujipanga upya.
- Mazingara ya siasa tuliyonayo Tanzania, vita hivi vinapiganiwa zaidi bungeni, sasa kule tayari mafisadi wamewa-recruit wabunge wengi sana hata usiowategmea, mpaka wa upinzani, sasa ukirudi huku kwetu uraiani sijui kama unajua kwamba hivi vita huwa vinaongozwa single handed na the mighty Mengi, ambaye naye anatakiwa kupigana bila kumuudhi rais, ambaye msimamo wake haueleweki,
- Sawa wananchi wasomi na wachache wenye kuelewa kinachoendelea tunaweza kuendelea kupiga kelele lakini kama ulivyoona kwenye vitambulisho our effect bila ya bunge ni ndogo sana, the minute bunge likikaaa pembeni na vita inakuwa almost dead, sasa ninaposmea kwa sasa tumeshindwa vita haina maana kwamba tutashindwa daima au kwamba sasa ninakubali ufisadi utawale, hapana I am juts being realistic kwamba kwa sasa tumeshindwa vita na kama alivyoniambia yule mbunge kwamba ni mpaka bunge lijalo kama wabunge seriuous watapita wengi that should be our next goal yaani wapiganaji kujaribu kuwapitisha wabunge serious. Na tunaweza kwa kujaribu kuwasiadia as much as we can na misaada midogo midogo ya hapa na pale which is my next goal baada ya kupumzika na siasa za hapa forums.
- Ukitaka kuua nyoka anza na kichwa, lakini so far tumeshindwa kuanza na kichwa kwa sababu tuna rais asiyeeleweka msimamo, na kichwa ni yeye ndio maana tunakwama, lakini hatufi tamaa.
Thanxs na Respect!
Wazee wa sauti ya umeme - FMES!