Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Mijadala kuhusu Mama Kilango itakuwa huru sasa, I cant wait! Au utarudi kuendelea kumlinda watu wakimshushia makombora?
 
... ukweli ni kwamba kuanzia tarehe 22/2/09 ulikuwa ndio mwisho wangu wa kujihusisha na kuchangia mijadala ya siasa hapa JF, baada ya miaka mingi hapa nilifikia uamuzi kwamba nimefika mwisho.

...nipo kila ninapokuwa na muda kwa pembeni ... na nikihitajika sipo mbali sana.

Well, FMES, kwa kweli una mzigo mkubwa hapa, maana kila unapotuma barua za kustaafu au unapopotea wananchi huwa wanazipokea kwa vilio na miito ya kukutaka urudi, wakikutafuta kama mchezaji nyota wa Kombolela ambae mkishindwa kumpata alikojificha inabidi mpaka mumsaidie yule ambae "anasafa."

Sasa, ukipotea kwa kweli wananchi wanasafa, hawajui wafanyeje, lakini hatuwezi kuwa selfish, lazima tukufikirie na wewe pia, ili upate kupumzika. Kwa kweli ni kitendawili, maana mwenyewe umeona wanavyolia, wanakuhitaji shujaa wao mkuu, tunaogopa kuishia kuchukua mashujaa wa Wamarekani Wa Kiafrika, kina Colin Ferguson.

Lakini maadam umesema utakuwepo muda wa pembeni, na hata usipokuwepo umesema ukihitajika hauko mbali basi nadhani Kombolela letu halitaharibika, tukishindwa kupata ulikojificha tutapiga yowe "FMES, tokea, tokea, umejificha wapi, njoo tuanze round nyingine, watoto wamechoka kukutafuta" halafu, basi, utatokea tutafurahi, tutakusoma, kisha tutakuachia "kopo" wewe mwenyewe tutakwambia "butua" ili ukajifiche tena, upumzike.

Kwa sasa Wananchi wame "safa" vya kutosha, wamelia, na hivyo tunashukuru umejitokeza kwa round nyingine.
 
This is hilaroius!
 
Mzee wa umeme --- kila nilipohitaji msaada fulani fulani kuhusu mambo fulani fulani wewe ndio umekuwa namba moja katika kuhakikisha mambo yanakwenda salama na kiulaini kabisa bila matatizo yoyote ---- naamini utaendelea kuwepo au nikuchech pm nikualike sehemu fulani hivi ila tunatumia majina halisi na bahati nzuri wabunge wengi wa nchi jirani ndio wanachachiaji wakubwa

- Mkuu wangu Shy, heshima mbele sana nitaangalia huko otherwsie tupo pamoja sana ingawa mwanzoni I was led kuamini kwamba you are a bad person, lakini baada ya interaction na wewe nje ya JF I have a lot of respect na ushirikiano wako, hopefully tutazidi maana ninaheshimu watu wasioogopa kama wewe, you got my number anytime bro!

Respect!
 
kwenye TV na redio ilikuwaje?
Hongera kwa kuukwaa ukurugenzi wa kampeni za Lau masha

- Kuhusu TV mlango uko wazi kwa mshikaji wangu Joe, anytime ni uamuzi wangu tu, Radio pia mshikaji wangu mmoja ambaye nimemsaidia sana kununua mitambo na amefungua Radio Mbeya mjini hivi karibuni, huko nako mlango uko wazi wakati wowote ninaotaka.

- Lau Masha, ni rafiki yangu kama marafiki wengine wengi nilionao hapa JF, kwenye uchaguzi wa ubunge haniihitaji anajitosheleza sana, ila kuna wabunge wangu wapiganaji ndio ninaojaribu kuwasaidia as much as I can, next week end nitakuwa Iowa State kumsaidia mmojawapo, na baada ya hapo nitaruka naye kwenda Tokyo ambako tutaachana huko na nitakwenda London kutafuta hela zaidi kusaidia wengine pia ambao mafisadi wanajaribu kuwapiga vita wasirudi bungeni, dalili ni mbaya sana kwa baadhi yao lakini tutajaribu as much as we can kuwasaidia ili warudi bungeni.

- Unajua mke wangu ni director wa NGO kubwa sana inayowasomesha watoto wasio una uwezo, kati ya Nyamuso, na Mugumu Musoma, na Arusha, ni kwa muda mrefu sana amekua akinitaka nijiunge naye lakini nikawa bize sana na sehemu zingine hasa hapa JF, lakini sasa nimeamua kujiunga naye kwa 100%, kwa hiyo hii nayo itanipa platform kubwa zaidi ku-reach out wananchi wanyonge na utawala wetu wa taifa pia.

Kwa hiyo ndugu yangu Yo-Yo, heshima mbele usikonde sana na Masha maana ni mshikaji kama wewe, halafu unajua ni majuzi tu mshikaji wangu mwingine wa karibu sana Sister Pendo, alifariki dunia bado mpaka leo inanipa taabu sana mkuu kuikubali maana unajua sometimes kuna washikaji wavuka level ya ushikaji na kuwa kama ndugu, kwa hiyo usiwe na wasi wasi mkuu tupo pamoja sana.

Respect!
 
Mkuu umeamua kuweka ubao wa funguo(keyboard) kando.....sasa yale mahabari ya kuvunjika ndo itakuwa vipi?!? Kama utakuwa unatuletea pindi yanapojiri, then powa...Maana busara zako nje ya ubishi wa hapa bado zina manufaa.....nina imani bado unapatikana kwenye frikwensi (#s) zilezile au sio mkuu??
 
Mijadala kuhusu Mama Kilango itakuwa huru sasa, I cant wait! Au utarudi kuendelea kumlinda watu wakimshushia makombora?

- Mama Kilango au Super K, ni mshikaji wangu wa karibu sana na ninamzimia sana kwa ushujaa wake maaana yeye kwake sio siasa tu, hata one on one hana ujinga wala unafiki, na ni kiongozi makini sana maana hata mafisadi wanazimia naye sana, infact huwa mafisadi wanaenda nyumbani kwake bil a hata hodi na kutaka kuongea naye, ninakumbuka siku moja Rostam, akimvamia na kumlazimisha amsikilze his side of story ya Richimonduli masaa karibu manne.

- Nakumbuka dinner moja, akidansi na Karamagi baada ya dansi akaniambia sasa subiri nikutana naye bungeni hataamini kuwa ni mimi, yes I love that, sikumbuki hata mjadala mmoja unaomhusu wewe kushiriki, unless otherwise Bwa! ha! ha! ha!, ya kuja kutetea record yake tena hapa JF hapana tumeshapita hiyo level sasa tutaenda kumtetea kwa wananchi yaani ground zero kwenye reality ya maisha ya bongo.

Respect Mkuu
 
Well, FMES, kwa kweli una mzigo mkubwa hapa, maana kila unapotuma barua za kustaafu au unapopotea wananchi huwa wanazipokea kwa vilio na miito ya kukutaka urudi, wakikutafuta kama mchezaji nyota wa Kombolela ambae mkishindwa kumpata alikojificha inabidi mpaka mumsaidie yule ambae "anasafa."

Sasa, ukipotea kwa kweli wananchi wanasafa, hawajui wafanyeje, lakini hatuwezi kuwa selfish, lazima tukufikirie na wewe pia, ili upate kupumzika. Kwa kweli ni kitendawili, maana mwenyewe umeona wanavyolia, wanakuhitaji shujaa wao mkuu, tunaogopa kuishia kuchukua mashujaa wa Wamarekani Wa Kiafrika, kina Colin Ferguson.

Lakini maadam umesema utakuwepo muda wa pembeni, na hata usipokuwepo umesema ukihitajika hauko mbali basi nadhani Kombolela letu halitaharibika, tukishindwa kupata ulikojificha tutapiga yowe "FMES, tokea, tokea, umejificha wapi, njoo tuanze round nyingine, watoto wamechoka kukutafuta" halafu, basi, utatokea tutafurahi, tutakusoma, kisha tutakuachia "kopo" wewe mwenyewe tutakwambia "butua" ili ukajifiche tena, upumzike.

Kwa sasa Wananchi wame "safa" vya kutosha, wamelia, na hivyo tunashukuru umejitokeza kwa round nyingine.

- Mkuu shukrani kwa heshima yako, labda niguse kidogo ya Ferguson maana nijuavyo ni kwamba yeye ni criminal kama Malcom-X alivyokuwa, sasa in the absence ya mashujaa wa kweli kama kina Obama, ambao hawana record hata moja ya crime katika maisha yao, ni rahisi sana ku-fall for anything na kuamini kwamba hata criminals kama Ferguson na Malcom-X, wanaweza kwua mashujaa.

- Otherwise, ninashukuru sana kwa maneno yako mazito sana lakini ninashukuru kwamba unaielewa nia yangu ya kupumzika na siasa katika hii forums, binafsi sina wasi wasi maana vijana wapo wengi sana ninaowaamini na hata watu kama wewe ambao mko serious na taifa hakijaharibika kitu mkuu wangu, ila kama nilivyosema nipo kwa pembeni inapobidi na siku zote nitaendelea kuwa JF member, ingawa sitachangia siasa tena katika JF nimechangia ya kutosha sana na nimeipa JF all I had, sidhani kama nina deni tena katika hii kazi ya kujitolea na ninakutakia wewe na wengine mnaoendela libenke jema, maana mafisadi wamechaha sana hasa sasa I wish wananchi wenzangu wangekua wanaelewa how much mafisadi sasa wamepania kushika hatamu na they are doing it tena kwa kasi ya ajabu sana, jana nilikuwa ninasikiliza interview ya Zuma BBC, kwa kweli ni vyema wananchi hapa wakaitafuta na kuisikiliza maana anasema mengi sana yanayofanana na mafisadi wetu bongo, kumbe na huko SA nako kuna mafisadi pia.

Respect!
 
Mkuu umeamua kuweka ubao wa funguo(keyboard) kando.....sasa yale mahabari ya kuvunjika ndo itakuwa vipi?!? Kama utakuwa unatuletea pindi yanapojiri, then powa...Maana busara zako nje ya ubishi wa hapa bado zina manufaa.....nina imani bado unapatikana kwenye frikwensi (#s) zilezile au sio mkuu??

- Mkulu wangu Mwanzage, heshima mbele sana uswie na wasi wasi nipo anga zile zile, ila tu sasa safari nyingi zaidi mpaka uchjaguzi utakapokwisha lakini nitakutafuta later na tupo pamoja katika yote hakuna wasi wasi.

- Wakuu wengine wote respect na hakuna tatizo tutajibu maswali yote na concerns kama zipo, maana sio vyema kuwekewa maneno mdomoni na wengine.

Later!

Respect!
 
- Kuhusu TV mlango uko wazi kwa mshikaji wangu Joe, anytime ni uamuzi wangu tu, Radio pia mshikaji wangu mmoja ambaye nimemsaidia sana kununua mitambo na amefungua Radio Mbeya mjini hivi karibuni, huko nako mlango uko wazi wakati wowote ninaotaka.

- Lau Masha, ni rafiki yangu kama marafiki wengine wengi nilionao hapa JF, kwenye uchaguzi wa ubunge haniihitaji anajitosheleza sana, ila kuna wabunge wangu wapiganaji ndio ninaojaribu kuwasaidia as much as I can, next week end nitakuwa Iowa State kumsaidia mmojawapo, na baada ya hapo nitaruka naye kwenda Tokyo ambako tutaachana huko na nitakwenda London kutafuta hela zaidi kusaidia wengine pia ambao mafisadi wanajaribu kuwapiga vita wasirudi bungeni, dalili ni mbaya sana kwa baadhi yao lakini tutajaribu as much as we can kuwasaidia ili warudi bungeni.

- Unajua mke wangu ni director wa NGO kubwa sana inayowasomesha watoto wasio una uwezo, kati ya Nyamuso, na Mugumu Musoma, na Arusha, ni kwa muda mrefu sana amekua akinitaka nijiunge naye lakini nikawa bize sana na sehemu zingine hasa hapa JF, lakini sasa nimeamua kujiunga naye kwa 100%, kwa hiyo hii nayo itanipa platform kubwa zaidi ku-reach out wananchi wanyonge na utawala wetu wa taifa pia.

Kwa hiyo ndugu yangu Yo-Yo, heshima mbele usikonde sana na Masha maana ni mshikaji kama wewe, halafu unajua ni majuzi tu mshikaji wangu mwingine wa karibu sana Sister Pendo, alifariki dunia bado mpaka leo inanipa taabu sana mkuu kuikubali maana unajua sometimes kuna washikaji wavuka level ya ushikaji na kuwa kama ndugu, kwa hiyo usiwe na wasi wasi mkuu tupo pamoja sana.

Respect!
Mkuu no need ya kujieleza sana....mapumziko mema na safari njema.....mie bado niko JF.....
 
Nimeitumikia JF kwa hali na mali, na I gave everything as far as siasa is concerned, unajua kwa mwanasiasa kama mimi kila baada ya muda fulani ni lazima kufanya self analysis, na kujichambua kwa makini which nimekua nikifanya all the times na this time nikaamua kwamba wakati umefika wa kwueka kalamu chini, nia na madhumuni ni kutafuta nafasi kubwa zaidi ya kusikika kwa taifa nina options nyingi ambazo ninajaribu ku-figure out ipi itakidhi matakwa yangu, lakini ya kuchangia siasa kwenye hii forums, kwa sasa ninaamini kwamba nimefika mwisho.

Kila la heri Mkuu katika mipango yako.
 
Mkuu no need ya kujieleza sana....mapumziko mema na safari njema.....mie bado niko JF.....

Originally Posted by Yo Yo
kwenye TV na redio ilikuwaje?
Hongera kwa kuukwaa ukurugenzi wa kampeni za Lau masha

- Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako, lakini katika siasa unapouliza swali ina maana moja ni kwamba unauliza kwa niaba ya wengi kwa hiyo jibu ni lazima liwe kwa niaba ya wengi na unapojibu ni lazima kujibu pia kwa niaba ya maswali mengine mengi yanayoweza kuzuka in the process ya kujibu swali la msingi.

Ninakutakia mafanikio mema mkuu na kulisaidia taifa letu katika kubaki kwako JF.

Ngoja na mimi nianze kuaga.......
 
- Kuhusu TV mlango uko wazi kwa mshikaji wangu Joe, anytime ni uamuzi wangu tu, Radio pia mshikaji wangu mmoja ambaye nimemsaidia sana kununua mitambo na amefungua Radio Mbeya mjini hivi karibuni, huko nako mlango uko wazi wakati wowote ninaotaka.

- Lau Masha, ni rafiki yangu kama marafiki wengine wengi nilionao hapa JF, kwenye uchaguzi wa ubunge haniihitaji anajitosheleza sana, ila kuna wabunge wangu wapiganaji ndio ninaojaribu kuwasaidia as much as I can, next week end nitakuwa Iowa State kumsaidia mmojawapo, na baada ya hapo nitaruka naye kwenda Tokyo ambako tutaachana huko na nitakwenda London kutafuta hela zaidi kusaidia wengine pia ambao mafisadi wanajaribu kuwapiga vita wasirudi bungeni, dalili ni mbaya sana kwa baadhi yao lakini tutajaribu as much as we can kuwasaidia ili warudi bungeni.

- Unajua mke wangu ni director wa NGO kubwa sana inayowasomesha watoto wasio una uwezo, kati ya Nyamuso, na Mugumu Musoma, na Arusha, ni kwa muda mrefu sana amekua akinitaka nijiunge naye lakini nikawa bize sana na sehemu zingine hasa hapa JF, lakini sasa nimeamua kujiunga naye kwa 100%, kwa hiyo hii nayo itanipa platform kubwa zaidi ku-reach out wananchi wanyonge na utawala wetu wa taifa pia.

Kwa hiyo ndugu yangu Yo-Yo, heshima mbele usikonde sana na Masha maana ni mshikaji kama wewe, halafu unajua ni majuzi tu mshikaji wangu mwingine wa karibu sana Sister Pendo, alifariki dunia bado mpaka leo inanipa taabu sana mkuu kuikubali maana unajua sometimes kuna washikaji wavuka level ya ushikaji na kuwa kama ndugu, kwa hiyo usiwe na wasi wasi mkuu tupo pamoja sana.

Respect!

This FMES character seems to be very "interesting" in real life
 
ndio mkuu......najiandaa na 2010.....

Hahaaaa...LOL....Unanichekesha sana mpwa...Kwamba unaivizia nafasi kubwa kitaifa...Unataka kusikia kitaifa zaidi....LOL...Haya kila la kheri(kwi kwi kwi)...Ukatuwakilishe vema huko...Penye nia pana njia mazee
 
Back
Top Bottom