- Mkulu Bubu, siku zote you have my respect, mafisadi toka baada ya uchaguzi wa UV-CCM, wamegeuza makali sasa hivi wana-play katika level mpya tena ya ajabu sana, walifanikiwa kumdanganya kila mtu kwenye uchaguzi wa UWT na since then wamekuwa kama invisible, wamezuia habari zote za uozo wa UV-CCM zisitoke, majuzi wamempa heshima kubwa Kawawa, ambayo wananchi wengi hawaelewi the catch behind hiyo hype, kwamba wanamtayarisha tu Kawawa kumtumia kwenye kamati kuu katika kuenguea majina ya wagombea wasiowataka,
- Mafisadi wakiongozwa na Lowassa, Nchimbi, na Kingunge na Makamba watakuita mbele ya CC halafu watakwambia kuwa Mzee Kawawa ni kiongozi safi na mwenye kuheshimika sana na taifa, watamsimamisha ili akwambie kwamba hufai kupewa nafasi ya kugombea maana Mwalimu angekuwepo asingependa wagombea kama wewe, akimaliza you are out ndio maana hasa ya kelele za majuzi Ikulu na kitabu cha Kawawa, WhY now? Mafisadi wameanza kujipanga hao. Majuzi umeona sasa Mama Maria akitembelea Ikulu na picha na muungwana unafikiri ni kwa nini hasa? Na why now? Viongozi muhimu karibu wote wa upinzani wanasema wanatafuta ubunge, na sasa it is official kwamba tutanunua Dowans na kumlipa Rostam kupitia kwa Manji,
Basically, for now tumeshindwa vita na mafisadi labda mpaka baada ya uchaguzi ujao it hurts lakini ndio the ugly truth, wabunge sasa matumbo joto maana the time is up na mafisadi are all over wengi wao na hasa tuliokuwa tukiwategemea wameanza kukata deal nao yaani mafisadi, it is ugly outthere mkuu, lakini hatufi tamaa kuna uwezekano wa kuwarudisha wabunge wapiganaji labda wanne tu inasikitisha lakini ndio tatizo la umasikini wetu, wengi wetu ni masikini wa mali sasa tumeruhusu umetufika mpaka kwenye akili, nguvu ya mafisadi ni pesa tu maana wabunge wetu wengi wapiganaji hawana pesa kwa hiyo we lost tena big time.
Otherwise, heshima mbele sana na kazi njema wewe na familia yako pia.
Respect!