Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wanted​

Nyani Ngabu; for failure to fullfill promise to send Rev. Kishoka his divine Spirit for the Obama's win as 44th.​

Nyani Ngabu; for failure to send Jumba to Pundit as result of Nyani loss wager to predict Obama win on November 4th 2008​

Nyani Ngabu: for hiding behind the 177 Reputhuglicans Congressmen who pledge their faith to Rush Limbaugh and not the constitution of USA​

Nyani Ngabu: for Kiling Nyama Hatari, The Truth and .......​
 
Nyani Ngabu or Nyani McCain? Nyani Ngabu never existed in that period of time ...
 
Cynic,

While you orbited the Moon, Nyani Ngabu became Nyani McCain, then LeanBack and back to Nyani Ngabu!
 
I am still alive. Nashukuru kwa kunikumbuka. Nilikuwa nimekwenda kutambika kidogo.
 
Wakuu JF, hivi Mkuu FM ES yuko wapi?, simaanishi alipo kieneo. Lakini tangu tarehe 22 Februari hajatia mguu hapa JF. Kila jema kwake huko aliko.
 
Wakuu JF, hivi Mkuu FM ES yuko wapi?, simaanishi alipo kieneo. Lakini tangu tarehe 22 Februari hajatia mguu hapa JF. Kila jema kwake huko aliko.

Yupo huko aliko mazee msubirie atakuja na breaking news Kilango kugombea uraisi wa Jamhuri ya Same!!
 
Wakuu JF, hivi Mkuu FM ES yuko wapi?, simaanishi alipo kieneo. Lakini tangu tarehe 22 Februari hajatia mguu hapa JF. Kila jema kwake huko aliko.

Nadhani atakuwa amesafiri lakini sidhani kama ni kwa muda mrefu au ana dharura za kifamilia. I hope kila kitu kiko shwari.
 
Wakuu JF, hivi Mkuu FM ES yuko wapi?, simaanishi alipo kieneo. Lakini tangu tarehe 22 Februari hajatia mguu hapa JF. Kila jema kwake huko aliko.

1.
Yupo huko aliko mazee msubirie atakuja na breaking news Kilango kugombea uraisi wa Jamhuri ya Same!!

2.
Nadhani atakuwa amesafiri lakini sidhani kama ni kwa muda mrefu au ana dharura za kifamilia. I hope kila kitu kiko shwari.

Wakuu wote hapo juu heshima mbele sana nimeupata ujumbe wenu jana baada ya kutumiwa na member mmoja hapa, ukweli ni kwamba kuanzia tarehe 22/2/09 ulikuwa ndio mwisho wangu wa kujihusisha na kuchangia mijadala ya siasa hapa JF, baada ya miaka mingi hapa nilifikia uamuzi kwamba nimefika mwisho.

Nimeitumikia JF kwa hali na mali, na I gave everything as far as siasa is concerned, unajua kwa mwanasiasa kama mimi kila baada ya muda fulani ni lazima kufanya self analysis, na kujichambua kwa makini which nimekua nikifanya all the times na this time nikaamua kwamba wakati umefika wa kwueka kalamu chini, nia na madhumuni ni kutafuta nafasi kubwa zaidi ya kusikika kwa taifa nina options nyingi ambazo ninajaribu ku-figure out ipi itakidhi matakwa yangu, lakini ya kuchangia siasa kwenye hii forums, kwa sasa ninaamini kwamba nimefika mwisho.

Also, ni wakati muafaka pia wa kuwapa nafasi vijana wengi wanaochipukia, unajua wenye akili nyingi wanasema siku zote kuwa ukiingiia mahali popote hakikisha kwamba isku ya kuondoka umepaacha pakiwa better then ulivyopakuta, nafikiri ninaiacha JF ikiwa bora zaidi ya nilivyoikuta, and I am proud of that, nilipoingia JF kwa kuombwa na wamiliki wa then Mike na Fillga, nikitokea BCS niliikuta JF au TEF, ikiwa in a very bad shape, yaani mchango mmoja in two mpaka three days, lakini kwa kushirikiana na members wengine kama Mkwawa, Kimbembe, Mtanzania, Mkandara, Mwanakijiji, Lunyungu, PM, Ogah, Mpaka Kieleweke, na wengineo tulifanya kazi kubwa sana mpaka leo JF imekua a strong Taasisi kwa taifa.

Katika kuwepo kwangu hapa nimejitahidi sana kuchangia as much as I could, I gave it all na sasa naomba kupumzika na kuwaachia wengine waendeleze libeneke, in the meantime ninaumiza kichwa kuamua what should be next lakini soon nitakuwa na uamuzi kwa sababu kwangu siasa ni mylife kwa hiyo siwezi kukaa tu bila something. Again ninaomba kuwaomba msamaha wote tuliokwaruzana na pia kuwasamehe wote tuliokoseana, nia na madhumuni on my part ilikuwa ni taifa mbele tu na sio anything else. Ninaomba kuwashukuru wanachama wote wka ushirikiano mkubwa sana tuliowahi kuwa nao hapa JF na nje ya hapa kwa wengine, pia Mkuu Invisible pokea slaam zangu za heri na dhati kwa kazi yako nzito na uvumilivu mkubwa sana ulionao katika kuiendeleza hii JF maana yako sio kazi rahisi.

Kwa hayo machache naomba kuweka kalamu chini, nipo kila ninapokuwa na muda kwa pembeni, otherwise nawatakia mafanikio mema na nikihitajika sipo mbali sana.

JF mbele na taifa mbele zaidi. Respect!

Wazee wa sauti ya umeme - FMES!
 
Mzee wa umeme --- kila nilipohitaji msaada fulani fulani kuhusu mambo fulani fulani wewe ndio umekuwa namba moja katika kuhakikisha mambo yanakwenda salama na kiulaini kabisa bila matatizo yoyote ---- naamini utaendelea kuwepo au nikuchech pm nikualike sehemu fulani hivi ila tunatumia majina halisi na bahati nzuri wabunge wengi wa nchi jirani ndio wanachachiaji wakubwa
 
Nimeitumikia JF kwa hali na mali, na I gave everything as far as siasa is concerned, unajua kwa mwanasiasa kama mimi kila baada ya muda fulani ni lazima kufanya self analysis, na kujichambua kwa makini which nimekua nikifanya all the times na this time nikaamua kwamba wakati umefika wa kwueka kalamu chini, nia na madhumuni ni kutafuta nafasi kubwa zaidi ya kusikika kwa taifa nina options nyingi ambazo ninajaribu ku-figure out ipi itakidhi matakwa yangu, lakini ya kuchangia siasa kwenye hii forums, kwa sasa ninaamini kwamba nimefika mwisho.

Wazee wa sauti ya umeme - FMES!
kwenye TV na redio ilikuwaje?
Hongera kwa kuukwaa ukurugenzi wa kampeni za Lau masha
 
Back
Top Bottom