Embu li vogue langu niliingize gia namba tano nipitilize hapa
.mmmmmh hiv unajua kama nakupendaa???
mmmmmh hiv unajua kama nakupendaa???
Najua kwani vipi...?
aaahh mkali nungunungu na miba yake.... lakini bado wajanja wanakwea!!!Ana mke mkali kama pilipili,akija hapatatosha bi dada shaurilo,mi nakumegea tu umbea usinitaje!
Namuona kashakuja naw,ngoja nikae kando kuskilizia@Madame B karibu ujioneeaaahh mkali nungunungu na miba yake.... lakini bado wajanja wanakwea!!!
Temporary Single
haa nipo natafuta thread ya @kurecee maana leo ni ijumaa ni furahie tu..