Wana Chit - Chat!!

Wana Chit - Chat!!

Usinikumbushe mwenzio nshatubu!
Sasa best ina maana wewe ndo mbunge wako aliangua kilio bungeni kulilia mtandao? Mmh poleni. Next tome msimamishe nguzo ya chuma igombee labda itawasaidia.

Teh! Umenichekesha sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom